Nilipokuwa nawaambia mara kwa mara kwamba kuna vitabia havipo sawa na haviendani na medani ya kiume kwenye ile idara yenu ya habari mlindani naleta matani. Leo mmejionea wenyewe.Hivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
Analilia ke ilikuwa yake ghafla imechukuliwa na Kamwe!We una maoni yapi?
Naona unawateyea upinde wenzio kummer weweWabongo na kutafrisi vitu wapo tofauti kabisa taafsiri upande wa pili pia sio negative tu
Bure kabisa kabisa!Hivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
Hivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba
Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake
Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?
Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa
Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini
Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
😂😂😂😂😂Msimtetee ni upuuzi wa kiwango cha sgr...unalia kama nani? Kama rafiki? Why ulie rafiki yako kaoa? Kama mzazi? Sawa tunaelewa maybe anakumbuka alipokutoa...
Sasa rfk wa kiume unamlilia rfk yako wa jinsia yako kama umefiwa mpk makamasi kweli??
Sisi wadada tukilia kwny shughuli za wenzetu huwa ni wivu tuu hakuna kingine..sasa yy nae anaona wivu??
Stupid
😂😂😂😂😂 nyie Waja! Mmechangamka sana LolJamhuri ya Kidemokrasia ya JamiiForums inakuteuwa kufuatilia na uje na mrejesho.
😂😂😂😂Mjini Dar hiyo
Tumekuteua baada ya Nifah kutuacha solemba maana kazi kama hizi wala tusingepata shida kama Warumi r.i.p angekuwepo.😂😂😂😂😂 nyie Waja! Mmechangamka sana Lol
Wasaidie kutafsiri huo upande wa piliWabongo na kutafrisi vitu wapo tofauti kabisa taafsiri upande wa pili pia sio negative tu
😁😁Dogo gani huyo?
Ndugu yangu vijana wa siku hizi hawnaa dhamana, usikute alikuwa analia wivu, mumewe anaoa, ama mkewe kapata mke.