Huyu dogo alikuwa anajiliza kwanini?

Huyu dogo alikuwa anajiliza kwanini?

Ameshangaza dunia aisee unaliaje kwenye harusi ya mwanaume mwenzako.
 
Kuna vitu wanawaza kulia mbona kawaida sana.me mwenyewe sometimes nikilewa nikakumbuka marehem wangu lazima machozi yanitoke
 
Ukiona mwanaume anajiremba sana, yaani kwa siku anatumia saa mbili mbele ta kioo, akijirekebisha nywele, midomo, mabega, anakimbizana na fashion za box ujue hasara hapo, atakuwa mwanaume goigoi.
Wanaume kulia hadharani ni kitu cha ajabu, tena kulilia harusini.
Mwanaume lia peke yako chumbani, tena hapo kisa umekopa 300M n.k umeweka kwa biashara, vitu havisomeki, unatafura ada za watoto, unakuta mizinguo tu etc..Sio kulialia ovyo
 
Hata Msenge hawezi kulia kisa basha wake kaoa mwanamke, labda msenge mjinga na mpumbavu.

Hawa nao ko alitaka wawe wanakoboana pekee yao? Kwan shida nn? Si wataendelea kukoboana km kawa.

Anajidhalilisha kwa umma, mxxxxiiiiiieeeew!
Hata maimatha kashangaa sana hii. Lol
Jamhuri ya Kidemokrasia ya JamiiForums inakuteuwa kufuatilia na uje na mrejesho.
 
Msimtetee ni upuuzi wa kiwango cha sgr...unalia kama nani? Kama rafiki? Why ulie rafiki yako kaoa? Kama mzazi? Sawa tunaelewa maybe anakumbuka alipokutoa...
Sasa rfk wa kiume unamlilia rfk yako wa jinsia yako kama umefiwa mpk makamasi kweli??
Sisi wadada tukilia kwny shughuli za wenzetu huwa ni wivu tuu hakuna kingine..sasa yy nae anaona wivu??
Stupid
Mh wewe hukai mbali
 
Hivi huko Dar es salaam wanaume wameisha au nini?
Yaani kwenye harusi ya mwanaume mwenzio anaoa jitu linabubujikwa machozi kama Mwashamba

Hichi kilio kinatupa mashaka
Ni maumivu kuwa Ali Kamwe kapata mke Sasa wewe utaishi vipi au nini tafsiri yake

Au ni kilio cha furahia? Na penyewe furahia Gani hiyo?

Natamani ningekuwa ukumbini ningemtoa meno kama 4 hivi, tupunguze hizi hasara Kwa Taifa

Nashauri Eng Hersi Said toa hizi takataka ofsini

Nimekereka na tabia hii ya kipumbavuView attachment 3427426
Huko mbele si kuna me na ke, kwa nini mnasema alikuwa anamlilia me na si ke labda ilikuwa yake!
 
Back
Top Bottom