Huyu Diwani Amepoteza Mwelekeo!!

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,502
2,046
Diwani wa kata ya Mtoni wilayani Temeke,Benard Mwakyembe amefanya ziara ya kushtukiza ktk shule ya Mtongani na dispensari ya Mtongani na kutoa maagizo lukuki ikiwemo kuagiza walimu wasitoze michango alafu ameagiza wahudumu wa afya wafanye kazi masaa 24 siku zote za wiki.

Je, diwani kapata wapi mamlaka ya kuagiza watumishi wa serikali?
 
Tuliosoma PR tunasema nchi ipo kwenye "Mtanziko". State of Anarchy! Kila mwenye cheo ana sharubu, na bado Mawaziri wanakuja mtacheka mfe, wataruka na kukanyagana kwenye media!
 
Hiyo Tamu, Miaka Fulani Ya Nyuma Wenyeviti Wa Kijiji Walikuwa Wakikaa Nyuma Ya Darasa Huku Mwalimu Akifundisha, Usihofu Hii Ndio Tanzania
 
Hapo kwenye wahudumu wa afya ndo kazidi kubugi hivi anajua maana ya kufanya kazi saa 24?7
 
Teh teh..Husband akitoka job ameshatiwa stress za kutosha na matamkoz ya boss akirudi home nae anaanzisha matamkoz kupunguza machungu

Hehehe halafu wife anayashusha matamko kwa watoto na housegirl...

Kazi ipo
 
Hehehe halafu wife anayashusha matamko kwa watoto na housegirl...

Kazi ipo
Teh teh...Magufuli atatunyosha safari hii...Yani ukimuona mwenzako analia wala usimcheke uenda siku yako nawe ikafika..Mana huyu mzee balaa lake si dogo..
 
Kwa upande wangu mm nasema amefanya vizuri kwani watanzania wanadharau sana lazima wafatiliwe ndipo watatekeleza waliagizwa.
 
Diwani wa kata ya Mtoni wilayani Temeke,Benard Mwakyembe amefanya ziara ya kushtukiza ktk shule ya Mtongani na dispensari ya Mtongani na kutoa maagizo lukuki ikiwemo kuagiza walimu wasitoze michango alafu ameagiza wahudumu wa afya wafanye kazi masaa 24 siku zote za wiki.

Je, diwani kapata wapi mamlaka ya kuagiza watumishi wa serikali?

hahaaa kashaku chizi wa milembe huyo ningekua mm ningempopoa na mawe bla shaka ni diwani wa ccm
 
hiyo tamu, miaka fulani ya nyuma wenyeviti wa kijiji walikuwa wakikaa nyuma ya darasa huku mwalimu akifundisha, usihofu hii ndio tanzania

huku mbinga maka ya 90 hadi 98 walimu,wsuguzi walikuwa wanafanyi interview va wenyevitu wa vijiji wakikuheshimu diwani upo hapo
 
Back
Top Bottom