Huyu demu vipi ?

Acheni utoto. SOKONI hata maandishi yanamdefine ustaarabu wa mtu au msomi so jaribu kujishepu uonekane usomi wako
 
Last edited by a moderator:

Kauze nyanya
 
okey lakinijua usipo mla huyo atakuchukia au atakuzushia ni huna nguvu any way
mkuu nakusoma vizuri sana ila nimejifunza kwamba the world is not fair, so chochote utafany lazima kina side effect, thus i better do it my way. thanks kwa ushauri wako
 
Acheni utoto. SOKONI hata maandishi yanamdefine ustaarabu wa mtu au msomi so jaribu kujishepu uonekane usomi wako
sista unajua sikuelewi kabisa mkuu,ishu iko wapi hapo,kasaula mwenyewe tena haishi kuja ofisini kwangu
 
Mleta mada you sound like a stupid Idiot. Hivi kabla ya ku posts ulisoma kweli ulichoandika!! Hizi post za vivulana shida kweli

it seems you are as twice stupid idiot as i am..! hivi kabla ya kuchangia hii post ulisoma na kuelewa kilichoandikwa..!
 
wewe joka la kibisa nini unangoja nini sasa mchape nao.....

mkuu sio kila kibudu kinaliwa,sina mpango wa kuchapa ingawa uwezo wa kuchapa anytime ninao
 
Endelea kujipa moyo!! Sasa hiyo level yako ndiyo inakufanya ulete pumba kama hizi???

ivi mjinga nani kati ya anekula pumba na anayeuza pumba..?jichunguze uwezo wa akili yako ukochini sana
 
wachukue hata nyumba ya wageni wafanye hivyo,..... kuna chizi yangu mmoja yeye kapangisha chumba karibu na maeneo ya ofisi wanachangia kodi watu watatu kwa ajili ya kuchapa watoto wa watu .... siyo kwamba mimi ni chizi kama wao hapana....

mmmmh nafikiri hao wapo kwenye ule umri mmbaya 20-30, umri mbaya sana huo
 
it seems hujitambui. we unadhani usinge mwambia afanye hivyo angefanya?natumaini ye si mgonjwa waaakili. tena uache huo upumbavu, ni udhalilishaji maeneo ya kazi, kosa hilo ukigundulika adhabu yake ni kufukuzwa kazi. so chagua kazi au mapenzi.
 
mkuu nakusoma vizuri sana ila nimejifunza kwamba the world is not fair, so chochote utafany lazima kina side effect, thus i better do it my way. thanks kwa ushauri wako

any time your welcome!!!!!!!!!
 
mmmmh nafikiri hao wapo kwenye ule umri mmbaya 20-30, umri mbaya sana huo

kuna mmoja wao ni 40 lakini yeye katokea kabila la wahaya sasa naona mwili nguvu aziishi.............
 
Sasa hapa unataka ushauri wa nini ? kumbuka kua Mwanamke ni mama yako,mwanamke ni dada yako mwanamke ni bint yako mwanamke ni mke wako, jifunze kuwaheshimu sidhani kama mmoja katika hao akifanyiwa kama unavyofanya wewe na akiwa ni wako ungejisikiaje?....
 
it seems hujitambui. we unadhani usinge mwambia afanye hivyo angefanya?natumaini ye si mgonjwa waaakili. tena uache huo upumbavu, ni udhalilishaji maeneo ya kazi, kosa hilo ukigundulika adhabu yake ni kufukuzwa kazi. so chagua kazi au mapenzi.

loh !siamini mtu mzima kama wewe alafu unashindwa kutafsiri maana ya mada hii,nani kataja mapenzi kazini,umeambiwa namlazimisha ? Kaja mwenyewe anafunuafunua minguo yake. Wewe ukiamabiwa ufunue utafunua ?so kwanini yeye afanye kwa hiari yake kwa mikono yake,tena ofisini ?hapa ndo hoja ipo. Hebu ruhusu ubongo wako ufanyekazi kidogo,ulifaulu vipi mitihani wewe,usitumie ubongo kukumbuka nauli za daladala tu !
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…