Huyu demu simuelewi

Heri lee

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
981
528
Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa kabisa eti kusikia hivyo haongei na mimi,haitikii salamu,akiniona tu anavimba sura hata tukiwa assigment group hataki hata kuniona na kuandika maoni yangu mimi sielewi bana nduguz
 
Anakupotezea kwasababu you're broke dude, there's nothin you can do for her, bitches won't be loyal to nobody unless you got cash, chapa lapa mkuu, au tafuta mkwanja.
 
Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
 
OK, basi kuna haya,,,,
1. Kama ni "just friends" basi huyo hajielewi.

2. haujatuambia mambo mengi, kwasababu demu hawezi kukuomba kitu chenye thamani ya 350,000 Kama hamna mahusiano zaidi ya urafiki Wa kawaida, Na Kama ni mpenZi wako basi atakuwa anajua hata kipato chako AU umejionyesha Una uwezo kumbe ilikuwa ni gia ya kumpata basi yeye ndo alitakiwa aombe ushauri sio wewe!
 
Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
mkuu unataka kulala njaa miezi miwili ama una pesa ya ziada?

boom mnapewa 450,000, toa 350,000 unabaki na 100,000!

100,000 kwa siku 60 means utumie shs 1667.! will that be possible?

kama una njia nyingine ya kupata pesa, Go ahead.
 
Sasa itabidi nifanye jambo moja na la maana sana tena haraka sana au vp
 
Kuna watu wengi tu wa namna hiyo bila kubase katika jinsia yake. kuna wengine hata mfanyie mazuri kiasi gani aishi kulalamika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom