Huyu demu simuelewi

Huyu demu simuelewi

Huyo demu atakuwa fresh from school bado utoto mwingi kichwani unamsumbua
 
kwa hiyo huyu ni wangapi katika wale unaotongoza? mwache endelea na wengine ambao wamekubali.... hivi we mwalimu akifundisha unalia mademu target tu mda ufike utongoze loh.... kazi kwel kweli
 
Kuna mawili hapo
1.Mimi nilidhani ungefurahi baada ya kuona kakuchunia...."kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi"...
2.Huyo binti hakutaki kabisaaaa(nahisi ulimtongoza au ulionyesha dalili) kwa hiyo ili kukata mawasiliano na kwa kuwa anajua wewe ni mbahili basi akaona akuombe simu.Akijua kabisa utakataa halafu yeye apate sababu ya kukuchunia.Wasichana wachache wanaitumia sana hii mbinu:israel:
 
nyie madogo mnakosea sana....as a rule of thumb demu ambaye hatokusumbua ni yule wa chini yako i.e wa form 6 atoke na demu wa form 4,wewe wa chuo toka na wa a level huyu mahitaji yake tofauti na wa chuo.mademu wa chuo mara nyingi hutoka na wale walio makazini.....huyo atakusumbua balaa ukajikuta una supp bure....
 
Hata mimi ningekusumbua mvulana asoisha kutongoza kila kukicha!
 
Vumilia yatakwisha, hakuna lenye mwanzo likakosa mwisho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom