Huyu demu simuelewi

Huyu demu simuelewi

Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa kabisa eti kusikia hivyo haongei na mimi,haitikii salamu,akiniona tu anavimba sura hata tukiwa assigment group hataki hata kuniona na kuandika maoni yangu mimi sielewi bana nduguz

...demu MAFAO.
 
Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000

Heheheeeee, haya makubwa yani just friend ndo kashaomba na smartphone na mnuno juu? Je akiwa beiby je? We unatudanganya watu wazima wenzio, sema ukweli kuwa ushammong'onyoa ndo unadaiwa!
Na usipomlipa atakupeleka kwa dean....hamna cha bure kudadadeki.
 
Mmmmmh haya bana kumbe simu nyingi wanapewa
 
Eeh kijana we unaombwa smartphone unalia lia! Je ukiombwa gari si itakua kesi!dah ebu someni bana.
 
Okey aliniomba nimnunulie simu flan hivi ni smartphone flain hv ya sumsung ilikuwa ni sh 350,000
Acha wehu ww, yaani grp member akuombe smartphone!! Kvipi? Ww ni baba yake? Sema demu wako, na huna hela BASI. Kama kakupiga kibuti-kaa tulia tafta saizi yako (Chapti vs kongoro). Ha ha ha ha
 
Mm nimeanza chuo juzi tu nilikutana na demu flani tunasoma nae koz moja tulizoeana in deeep sana sana na kuchat sana sa juz bana aliniomba kitu flani but kilikiwa nje ya uweza wangu kaabisaa kabisa eti kusikia hivyo haongei na mimi,haitikii salamu,akiniona tu anavimba sura hata tukiwa assigment group hataki hata kuniona na kuandika maoni yangu mimi sielewi bana nduguz

hapo kwenye red sijakuelewa, kweli ww first year
 
hapa kuna watu wakiona mb zao hazina kazi anatoa chochote tu watu wachangie haya na pita tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom