Huyu Demu Namkwepaje?

Huyu Demu Namkwepaje?

Sim Card

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
881
Reaction score
1,605
Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi huu wa May mwishoni atalipa mishahara nusu na kuanza kutoa likizo bila malipo endapo janga hili litaendelea baada ya hapo.Yaani June na kuendelea. Nina mkopo benki ambao nategemea kumaliza Disemba 2020.je wadau, benki iliyonikopesha inaweza kunifanyia marekebisho ya mkopo nilipe kiasi ili nisiende bila chochote nyumbani endapo nikiongea nao? Natumaini janga hili litapita tutakuwa salama tena. Naomba ushauri wenu.Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu... Jaribu kuongea nao huenda wakakuelewa.
 
Andika barua kwa bank manager ukielezea ishu yako na namna utakavyolipa ukieeksitend muda wa malipo usisahau kuambatanisha barua ya muajiri pia....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi huu wa May mwishoni atalipa mishahara nusu na kuanza kutoa likizo bila malipo endapo janga hili litaendelea baada ya hapo.Yaani June na kuendelea. Nina mkopo benki ambao nategemea kumaliza Disemba 2020.je wadau, benki iliyonikopesha inaweza kunifanyia marekebisho ya mkopo nilipe kiasi ili nisiende bila chochote nyumbani endapo nikiongea nao? Natumaini janga hili litapita tutakuwa salama tena. Naomba ushauri wenu.Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu heading mbona haiendani na maelezo?
 
Back
Top Bottom