Kibaya zaid sijawahi kupiga game, uwe unafikiria kabla ya kuandikaKama uliombwa buku 3, then baada ya kushindwa kutoa, akaamua kupiga kimya, tafsiri yake ni kuwa hata game lako lipo chini ya kiwango!
Kama unapiga show kali, hata usipompa hiyo hela, atarudi tu!