Niaje wana jf. Straight to the point, Leo huyu mchumba wangu alinihidi kuja ghetto, cha ajabu kabla hajaja rasmi aliniomba nimuandalie chakula, basi kidume nikandaa msosi wa maana, baada ya muda kidogo kweli mrembo alikuja ghetto, nikampokea kwa bashasha tele, huku nikijisemea kimoyo moyo, leo ni siku maalum kwa ajili ya kuonesha manjonjo, ya kila aina, basi mrembo alivyo maliza kupata msosi, tukapiga stories kidogo, baadae nikaanza kumshika na kumfanyia romance, lakini alinistopisha na kusema, ngoja kidogo baby, ikanibidi niwe mvumilivu, aliniomba simu yake ambayo ilikuwa pembeni kidogo, baada ya kumpa ile simu, alienda kwenye sehem ya kuandikia ujumbe ( SMS ) bila kuweka namba yeyote, kisha akanionesha ujumbe ule, ambao ulisomeka kwamba, baby nahitaj unilambe huku chini, ( yaani nizame chumvin) bahati mbaya sijawahi kufanya kitu kama hicho, basi nilikataa na aliondoka kwa hasira sana, sasa najiuliza sijui nimuombe msamaha au vipi, ushauri wenu muhimu wadau.