Huyu dada nimueleweje?

Na vyuma hiv vilivyokaza, anakataaje 5k?
Leo nimeamka na 5k nimepiga mizunguko yangu yoote nimerud home na 1300 kama change.
 

Baharia amekula mzigo kwa Buku 5 tu
 
Buku tano kwa aliye wako kwa nauli inatosha sana labda kuna tatizo mahali

Yeaaah ...! Kwa mwanamke ambaye unamtunza hata ukija kumpa buku mbili au ukamlipia nauli tu kwenye daladala inaweza kutosha na bado akaendelea kukupenda.. Ila kwa hao Wanawake makupebwanao amini mwanaume ukila mzigo siku inayofuata basi untoe mpunga mzito.
 
Hapa ndipo tatizo linapoanzia mi nilikua na toto la kisomali limetimia kila idara na hata nauli yangu alikua hapokei anadai yeye hataki pesa ni mapenzi tu so pesa ifanye mipango ya maendeleo kwa kesho yetu sio hawa wadangaji.........mwanamke asipokua na tamaa hata siku akikuambia ana shida mwanaume unajipiga kweli kweli unajua kweli mtoto ana uhitaji ila sio hawa wauzaji,unataka nikupe kila tukikidhiana haja muda wa kukutunza nitautoa wapi? Hata ukiwa na shida siwezi kujali mpaka nipe nikupe....yes ndio inakua mazoea
 
keep calm
upo blacklist kwa sababu kuna kidume mwingine mtoa pesa anaelekea kuhudumiwa
 
Umejitaidi sana kuhonga pesa yote hiyo unahonga buku 5 tena cash.

Mm huwa nahonga misosi tu achukulie tumboni ila karatasi atarudi na ya kwake.

Ila ukiwa mbahili jitaidi kutongoza kila siku maana utaachwa kila siku
 
Ni kweli maana kama amekubali kuliwa bila hata senti, iweje leo ndo umpe elfu 5. Ni kama alimshush thamani, angempa hata zawadi yoyote ambayo si pesa.
Hiyo elfu tano ndo imekuponza
 
Ni Mara ya pili ,Mara ya Kwanza sikumpa at Mia, anaondoka kwa furaha,baada Kama ya wiki mbili ananipigia kuwa ana shida nikamwambia kwa Sasa Sina avumilie Hadi mwisho wa mwezi, ndiyo tumeonana Jana Tena ,leo kanifanyia hayoo

inauma sana
 
5000!! Shame on you.
 
Amekuta unakibamia ...hawezi akalizoshwa naww na hana mapenzi nawew tena
 
Kwani nauli inaanzia shilingi ngapi? Maana naona wadau wengine wanasema 5k haitoshi? Au anaenda nje ya mkoa?
At least 50k sio mbaya kwa nauli. Sasa buku tano hata bajaji haitoshi
 
Umejitaidi sana kuhonga pesa yote hiyo unahonga buku 5 tena cash.

Mm huwa nahonga misosi tu achukulie tumboni ila karatasi atarudi na ya kwake.

Ila ukiwa mbahili jitaidi kutongoza kila siku maana utaachwa kila siku
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Noma sana
 
Tena hakuombagi ela eti naww kujiongeza ujui unampa 5000. Au ni low clas sana
Mdada ni high class Sana Tena bonge la sister du,kwa Sasa ameni unblock tunaoeana salaam ila naskia aibu kumuita kipasha kiporo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…