Huyu dada ni muuaji

waTZ tujifunze kuishi maisha ya hadhi yetu.
 
anahaki saw ila yeye kama yeye anaetaka ukumbi wa mamilion amechangia sh ngapi upande wa keki ameiona ya kishamba angeleta yake ya kishua ili mambo yaende sasa unagoma lkn jeur ya pesa huna ndio nini mana yake
Lazima sherehe ifanyike sehemu nzuri na sio Uchochoroni, halafu unasema ajigharamie kwani anajioa, harusi hugharamiwa kwa upande wa mume watafte hela waache kulia Lia, ka shughuli inawashinda wataweza kutunza mke kweli?
 
Na walimu ni wapumbavu na malofa sana, huyo demu analeta ngendembwe sababu anajua aina ya mwanaume wake

Angejaribu kuniletea mimi machaguo ya kishamba kama angeiona tena harusi
 
Harusi inaandaliwa kulingana na kipato cha muoaji. Harusi ya mtoto wa mkulima ni tofauti na harusi ya mtoto wa Kimei au MoDewji.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
....Huyo Dada season za kikorea zinamuahiribu.
#Huyo jamaa akighairi kweli Basi huyo bibie ataitafuta ndoa mbaka kwa udi na haitoonekana,watakuwepo wapigaji tu.
Well said. Kachafua CV. Labda alitaka kuwarusha roho marafiki zake na mahawara zake wa zamani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani kuna maelezo ya ziada hatujapewa hapa. Kama sivyo basi hapo hakuna mke!
Maelezo yamekamilika. Kifupi binti anataka mambo ya bongo movie na instagram wakati kipato cha bwana wake anakijua. Wamesoma wote darasa moja, kozi moja, chuo kimoja!.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Huyo dada ana haki ya kukataa sherehe mbovu ya tukio kubwa, maishani kwa mkiristo zipo sherehe tatu kuu ya kuzaliwa, ubatizo, na harusi na kifo ndio main events, so binti ana haki kabisa ya kugoma mwenyewe nisingekubali harusi yangu iwe ya kiboya
Sio sherehe mbovu. Ni kipato tu.
Kuna haja gani ya kununua keki ya laki sita wakati ya laki mbili na nusu zipo tena nzuri tu.

Kuna maisha baada ya ndoa.

Kuna jamaa yangu alioa mwaka fulani ila baada ya ndoa alitumia zaidi ya mwaka kulipa madeni. Tamaa za fisi sio nzuri!

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Lazima sherehe ifanyike sehemu nzuri na sio Uchochoroni, halafu unasema ajigharamie kwani anajioa, harusi hugharamiwa kwa upande wa mume watafte hela waache kulia Lia, ka shughuli inawashinda wataweza kutunza mke kweli?
labda hujanielewa nikweli harusi inachapangwa upande wa mume sasa.mfano wao uwezo wao wa keki ni laki nne ww unaona haina hathi ili kwenda pamoja unawamba uwangeze laki 2 ili wanunue hiyo unayoitaka co kuwalizimisha eti kisa ni bibi harusi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…