amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Sisikilizi ushauri wake aisee! Mimi na wewe tu!
aaaa jamani full aibu lol
Sisikilizi ushauri wake aisee! Mimi na wewe tu!
Babu tunamalizana sie kwanza aafu wazazi baadaye. Mkia wa kondoo utaletewa lakini, usihofu!
Baba hapo umezama choo cha kike!
Nyalotsi abeee
dah very good Amu,ulivyomitikia hapa mwenzetu lazima apate usingizi na ndoto Mwanana!
hay mkuu lindo jema!Yaani, roho yangu nyeupeee! Hapa nilipo nabatasamu tu. Bahati mbaya mi mlinzi na leo niko zamu naogopa kulala, bosi wetu huwa anavizia usiku! Ntalala kesho laki ili kulipiza.
Nimefurahi sana. Leo hakuna kulala,mimi na wewe tu!
Thread kaa hizi zishapitwaga na wakati...!
Mkuu mwaka mzuri huu mkuu kwa wenye nyota zetu aisee.....
Dah! Yaani mimi huku raha tupu! We nikubalie tu nikuhifadhi kwenye left ventricle yangu.! Nateseka mwenzio
Haya makitu acha kama yalivyo. BTW thanks for your wishes. Ngoja niendelee kukomaa na huyu mwanamke. Simuwachi kabisa.