Huyu dada mi navutiwa naye!

Huyu dada mi navutiwa naye!

Kuna watu wananitishia baada ya mimi kutangaza nia. Tuko na Jerrymsigwa njooni huku tumalize huu ubishi maana amu keshatoka kuomba Mungu amfunulie mume wa ukweli.!!

Niliachana nae usiku ila tumerudiana leo, my sweetluv amu unaweza kuja kidogo hapa? Au vidole vinauma baada ya manicure! Jibu basii
 
Last edited by a moderator:
Niliachana nae usiku ila tumerudiana leo, my sweetluv amu unaweza kuja kidogo hapa? Au vidole vinauma baada ya manicure! Jibu basii

eee vidole vinauma
 
Last edited by a moderator:
usinikubali haraka fidq

Hata mwaka mzima mi ntasubiri tu! Sitaweza kuvumilia kukukosa. Mtima wangu utaumia sana jamanii, we nionee huruma tu! I need you kwa kweli!
 
Hata mwaka mzima mi ntasubiri tu! Sitaweza kuvumilia kukukosa. Mtima wangu utaumia sana jamanii, we nionee huruma tu! I need you kwa kweli!

maverse yako tu mie huku hoi
 
maverse yako tu mie huku hoi

Yaani ukiwa nami nitapunguza hata zamu za ulinzi wa usiku ili niwe karibu na wewe tu! Sitaweza kuvumilia kuwa mbali nawe bebi!
 
haaaaaaahaaaaaaahaaaaaahaa amu hapo unazidi kumuua Nyalotsi!!!!!!!!!!na ulivoitikia kwa heshima naona ndo atakuwa chaliiii kabisa.

Kama uliniona vile! Yaani huyu mdada, we acha tu!
 
Last edited by a moderator:
Aiseeeee!
amu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom