Huyu dada mi navutiwa naye!

Huyu dada mi navutiwa naye!

usione comments za upole ukajua ni wapole, usione thread za kulaani ukajua wao ni wasafi........
wivu hauusiki kwa namna yoyote ile!!!!!
hayo maneno yako mbaya maneno ya Quran yasiyofutika.
Halafu sitaki kutibuliwa siku bibie.
 
Zamani posa ilikuwa inapelekwa na wazazi wa kijana tena kwa heshima huko nyumbani kwa wazazi wa binti....

Siku hizi kumbe hata wazazi hawana haja bali mnapeleka JF??
amu wambie waje kwa babu ili usije kupewa laana bure...

Babu DC!!

shikamoo babu sawa ntawaambia cc Nyalotsi Jerrymsigwa
 
Last edited by a moderator:
Amu mie nalala zangu, naona chenga tu nimemwachia huyu new kidume bana
 
we si ndo wa kwanza kujitoa au umesahau?

Unajua baada ya mimi kupunguza ushindani nilidhani Jerry atatumia opportunity. .. sasa na yeye anajiengua mapeema...aarrrghh.
 
Unajua baada ya mimi kupunguza ushindani nilidhani Jerry atatumia opportunity. .. sasa na yeye anajiengua mapeema...aarrrghh.

huyu jerry yeye alitaka atengewe mpaka sebuleni.
 
amu kazi kwako

Halafu useme oooh sina bahati oooh bla blah

Shughuli hiyoooooo
 
Last edited by a moderator:
Haaaaaaaaaaaa huyu dada ni mpenzi wangu tunasaidiana na Tuko, labda we uwe namba3. amu unakubali hii kitu?
Jawilat asante kuniita hapa, we rfk wa kweli! Nakomaa hadi mwisho, Tuko uko wapi?

Duh, sikujua hili aisee, nitajitahidi niwapiku wote wawili. Haiwezekani!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom