Aisee bado...
Niajiri mie...mshahara 2 million
Aisee bado...
Niajiri mie...mshahara 2 million
Sasa huu ushindani mi naona ushakuwa mwingi... Mkuu Jerrymsigwa mi naona nikuachie tu maana amu mwenyewe kapiga kimya...
2m utakuwa unafanya kazi gani kwanza? ...
Hivi ulifanikiwa kupata house girl?
Kupika,kufua,kuosha vyombo na kulea watoto😛😛😛😛
We utanifaa... nitumie cv kwa pm
Hahaa wataka kuunganisha nguvu tukamsaidie mama Tuko?
Waoooh! Samahani nimechelewa kuja! Hapa nilipo nimezimia kama mara mbili baada ya kukuona. Kuna jamaa hapo njiani wamenitishia kunimushi eti we ni mali yao, kweli?
Zamani posa ilikuwa inapelekwa na wazazi wa kijana tena kwa heshima huko nyumbani kwa wazazi wa binti....
Siku hizi kumbe hata wazazi hawana haja bali mnapeleka JF??
amu wambie waje kwa babu ili usije kupewa laana bure...
Babu DC!!