Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,079
- 136,520
No man in his right mind would want a shiftless woman for a wife.
Nyinyi wadada msitangulize sana pesa, pesa ni matokeo tu. Masikini wa leo, tajiri wa kesho.
Wabongo tunapenda kujipaisha sana, kwa style hiyo lazima utakamata kichwa tuu humu shaka ondoa King of Kings( kwamtoro )
Vp ulijipaisha sana siku kadhaa kabla ya Jf party but hatukukuona, ilikuwaje mkuu au ulichelewa kutoka bandarini kuclear makontena yako?
Kings of the kings una mbwembwe....
Walijitokeza wadada wawili nikawawezesha, wananisumbua hawo. Kuna mzigo wa agent, turbo charges niliufuatilia Singapore. That why sikuweza kutokea. Nashukuru kusikia kwa wadau party ilikuwa Waaaooo!!!
Mwenyenacho hasemi....
Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.
Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.
Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self
CC: Kwa wadada/wamama/wanawake wote wenye kudharau watu wasiowajua malengo yao ya kesho. Wakijilengesha na kujipeleka kwa wale ambao tayari wanavyo vya kuonekana. Wataendelea kutafunwa na kutupwa kando ya barabara kama Bazoka. Hatimaye kila siku watarudi humu na kuandika "Mara wanaume hawatulii, mara wanaume hata uwape nini hawatulii"Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.
Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.
Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.
Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self
CC: Kwa wadada/wamama/wanawake wote wenye kudharau watu wasiowajua malengo yao ya kesho. Wakijilengesha na kujipeleka kwa wale ambao tayari wanavyo vya kuonekana. Wataendelea kutafunwa na kutupwa kando ya barabara kama Bazoka. Hatimaye kila siku watarudi humu na kuandika "Mara wanaume hawatulii, mara wanaume hata uwape nini hawatulii"
Mbona nyinyi hamtulii kwa maskini wenzenu Mungu aliowapa mnataka mtulie kwa matajiri tuuu.. hamjui kwa matajiri mpo wengi na lazima huduma itolewe kwa zamu. Sasa wivu wa nini tena wenzetu wasaka mali??????
Taratibu mkuu, haya mambo yapo na yanaendelea kutokea.===>>> weeee tuliaaaa....maskini weee....
===>>> Story za shigongo hizi au movie usilete hapa.......
===>>> Kafieee mbeleeee.....wenye pesa tumenyamaza.... keep shut...unajua Mungu kampangia nn dada wa watu...ww kakupiga kibuti nyamazaaa....huna lolote....kaa kimyaa...
Na kwambia huyu jamaa ni soo anamisuzo ya hatari yani watu wanajua kuact maisha wakiwa na keybord zao ana uwezo wa kusema ana nyumba u.s.a hajui watu tunaenda na record ya uzi zake ila hii ya leo ni kali...
Ndo huyu king of the kings aliyeshwa hata kulipia jf part leo anakumbia ana miliki kampuni na vigari vidogo vidogo kadhaa...
Hivi huu ushamba bado upo????? hahahahahag na kumbuka ilikuwa zamani sana mambo haya.
Jf ni vazi la kuficha shida zetu hapa ukitaka hata miliki wa zile choppa za chadema utampa yuko humu humu....