Huyu dada bhana!

Huyu dada bhana!

Mhuuu..hapa ni kwa watu wanao ota ndoto za utajiri.

Ni shidaa aisee,acha tu.
yani mtu ndani ya miaka 7 ametoka from nothing mpaka kumiliki kampuni,nyumba boko na vogue.Inawezekana lakini sio kwa njia halali,somewhere somehow something illegal was done kama si hvyo basi mdau anatupiga kamba kitu ambacho hapa jf si mahali pake

All in all hongera japo hukuwa na sababu ya kutangaza utajiri wako ili kuufikisha ujumbe wako tena ujumbe ungekuwa mzuri zaidi kama usingetaja mali zako.
 
utajl unapotea xo ucdhan kama ndo kataman kurudi kwa hvyo vihela ila kashangaa 2...
 
Wewe ni mutu ya kujikweza... Soon utakuja na uzi kuwa unamiliki ndege kama ya Obama.
 
Ungekuwa hata hapa nilipo wewe mtumwa sijui ungeandika nini hapa jf...

Huna chochote we makalio unajitekenya na kucheka mwenyewe una hatareee wewe.
Hakuna shida mbona kila mtu anaruhusiwa kuanika mali zake.
 
Jipe Moyo Kwamtoro utamiliki tu siku moja na wewe Range Rover yako, mimi na Toyota Passo kwanza ki-economy zaidi
 
Ni shidaa aisee,acha tu.
yani mtu ndani ya miaka 7 ametoka from nothing mpaka kumiliki kampuni,nyumba boko na vogue.Inawezekana lakini sio kwa njia halali,somewhere somehow something illegal was done kama si hvyo basi mdau anatupiga kamba kitu ambacho hapa jf si mahali pake

All in all hongera japo hukuwa na sababu ya kutangaza utajiri wako ili kuufikisha ujumbe wako tena ujumbe ungekuwa mzuri zaidi kama usingetaja mali zako.
Mkuu miaka saba sio shida, nikupe mfano mdogo tu wa mtu ambaye hata wewe unamkumbuka;

Marehemu Steven Kanumba alianza kuibuka kwnye sanaa na kufahamika mwaka 2006, niambie alipofariki miaka sita baadaye mwaka 2012 unazikumbuka mali alizoacha ambazo zilifahamika rasmi? achana na zile ambazo hakuzitangaza rasmi ambazo wapambe wamesunda.

Kikubwa ni kujituma mkuu, uwe na malengo ya kimaisha katika kila siku unayoona jua likichomoza. Siku 365 ni nyingi mno kama haitoshi zidisha kwa 7, inatosha kabisa kubadili maisha yako.
 
Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.

Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.

Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.

Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self
Sasa unataka kumaliziaje hadithi yako ulipompa lifti akaona aibu then what..................?
 
Msaidie umpe mtaji,ila ujue atakuvunjia ndoa yako maana atataka mrudiane,weka mbali na wewe kabisa
 
Majuzi ulimpa lifti.........

sijui majuzi yanayofatia utamsaidia nini

Hahaaaa.

Mimi niliisoma hiyo lifti nikawa na ki question mark, nikafikiri ni mimi tu na natural skepticism yangu.

Mtu ushaoa, huyu mshaachana, habari za lifti zinatokea wapi?

Mke wako anajua mambo hayo? Na yeye akipewa "lifti" na jamaa yake wa zamani utaona poa tu?

Kama umeamua kuoa, wengine fungia vioo tu. Lifti kwani wewe Mama Theresa? Wenye daladala wakale wapi?

Maumivu ya kichwa huanza pooolepole, mara lifti, mara ujue pale shetani tu aliniingia lakini wewe ndiye wangu, mara ndoa yako pwaa, utamlaumu nani?

Kama kuheshimu ndoa huwezi ungekaa msela tu kama Kiranga.

Ama sivyo mtaarifu kabisa mke wako kwamba kuna mwenzako alikutangulia sasa anataka kukirudia kiti chake hata kama kwa kuwa mke wa pili, muelewane mambo yawe kweupe.

Sio habari za lifti zenye shaka ya udokozi.
 
Nakushauri umchape nao. Halafu unaomba 0713. Akikupa unamchapa nao usiku kucha. Then mrng unampa mia 400. Unamwambia wewe kapuku.
 
Msaidie umpe mtaji,ila ujue atakuvunjia ndoa yako maana atataka mrudiane,weka mbali na wewe kabisa

Nimempa mtiani moja akifuzu nitampa ten million. Nimemwambia aandake mchanganuo wa biashara ya ten million aniletee. Akishindwa kudadavua sorry for her. Vyema nikaendeleze taratibu zangu za kukarabati vituo vya yatima
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom