Huyu dada bhana!

Huyu dada bhana!

Je alikwambia anaona aibu kwa kukukataa kipindi kile?au umehisi tu???na ulimpa lift ili umkebehi au????Tujifunze kuwa humble,kumbuka aliekupa huyohuyo anaweza vichukua.Besides una mchumba mzurii sasa thr is no need to hate her.#very old fashion style#.
 
mmmh!!!
sema mbona kama kuna kadalili ya kudanganywa hapa!!
sijajua ni kwanini ila nashindwa kuuamini uzi wako mkuu!!!
 
Mku...ndu kama wewe haunipi shida kabisa wala hata haukunipeleka shule ***** zako
Acha ushamba wewe pimbi


Je nilazima utumie neno ***** zako? Kwani hujazaliwa na mwanamke wewe?
 
Majuzi ulimpa lifti.........

sijui majuzi yanayofatia utamsaidia nini

Hayo ni majigambo ya kijinga sana,kwani yee ni mawe ama chuma? Kwamba haezi isha hivi karibuni?! Haya ni maisha bana, namshauri aache kubeep kupumua na hali anaumwa tumbo bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom