Huyu dada bhana!

Huyu dada bhana!

CC: Kwa wadada/wamama/wanawake wote wenye kudharau watu wasiowajua malengo yao ya kesho. Wakijilengesha na kujipeleka kwa wale ambao tayari wanavyo vya kuonekana. Wataendelea kutafunwa na kutupwa kando ya barabara kama Bazoka. Hatimaye kila siku watarudi humu na kuandika "Mara wanaume hawatulii, mara wanaume hata uwape nini hawatulii"

Mbona nyinyi hamtulii kwa maskini wenzenu Mungu aliowapa mnataka mtulie kwa matajiri tuuu.. hamjui kwa matajiri mpo wengi na lazima huduma itolewe kwa zamu. Sasa wivu wa nini tena wenzetu wasaka mali??????

Nimekupa Like kwa sababu wewe una akili sana zaidi ya wengi humu MMU.

Andika vizuri ueleweki, njaa hizi bhana zinanikumbusha mbali sana. Umekula mchana wa leo?

Mku...ndu kama wewe haunipi shida kabisa wala hata haukunipeleka shule ***** zako
Acha ushamba wewe pimbi
 
Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.

Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.

Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.

Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self

masikini akipata m.a.t.a.k.o hulia mbwata
 
Huyu ni mshamba fulani hivi asiye jielewa....

Shida zako ndizo zinakutuma kuandika maneno yasiyo ya kiugwana. Pole sana, fanya kazi kama hakuna kesho, siku na wewe utazikamata tu.
 
Shida zako ndizo zinakutuma kuandika maneno yasiyo ya kiugwana. Pole sana, fanya kazi kama hakuna kesho, siku na wewe utazikamata tu.

Ungekuwa hata hapa nilipo wewe mtumwa sijui ungeandika nini hapa jf...

Huna chochote we makalio unajitekenya na kucheka mwenyewe una hatareee wewe.
 
Ungekuwa hata hapa nilipo wewe mtumwa sijui ungeandika nini hapa jf...

Huna chochote we makalio unajitekenya na kucheka mwenyewe una hatareee wewe.

Nikiendelea kubishana na wewe, watu watashidwa kutofautisha nani ni punguani na nani mwenye akili timamu. usibweteke na maisha yako. Kwaheri

Nikiendelea kubishana na wewe, watu watashidwa kutofautisha nani ni punguani na nani mwenye akili timamu. usibweteke na maisha yako. Kwaheri

Kwa akili yako hiyo unadhani kunamtu anahitaji kwendelea kubishana na wewe......!!

Una matatizo wewe si buree.
 
Wanawake wengi wanazeeka wakisubiri waolewe na wanaume wenye hela.wanataka wakute magari,nyumba n.k vinamsubiri.
Raha mshirikiane kuchuma mali na mumeo,ushuhudie mnavyotoka kwenye hali ya chini hadi juu kwa nguvu zenu wote wawili.

Hivi vitu vya kuvikuta bwana vimefanya watu wafe presha...wanawake tusipende mambo mteremko saaana
 
Huyu Dada alinitosa kwa kuniambia mimi masikini sana sitoweza kumsupport.

Miaka saba ikaisha faster, nimefungua kampuni yangu, nimemaliza kujenga nyumba yangu goba, nina mchumba mzuri ambaye soon tutafunga ndoa, namiliki range rover na vigari vingine kadhaa.

Yule mdada ambaye aliniona masikini, she still single, anamsubiri tajiri aje amuoe.

Majuzi nimempa lift, nikamuonea huruma sana kwa jinsi alivyokuwa. She was ashemed of her self

Sema kampuni yenu maana BRELA wanataka shareholders zaidi ya 2 kufungua kampuni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom