Huyu dada anautesa moyo wangu..!!

Sawa uzuri wake hauna mjadala ni mzuri kweli, wasi wasi wangu uliposema unamtamani ndiyo nimestuka.
mmmnh umeninukuu vibaya mkuu..
barafuyamoto

barafuyamoto
JF-Expert Member
#6 25 minutes ago



Dah, nami huyu dada namkubali sana pia namtamani!!
 
Ohoo! Kaka mke wa mtu atakuletea shida... we baki unamwangalia tu mwache aende zake.
 
Wakuu yote mnayosema n sawa lakn kwa uzr huu hapana, niacheni nimpende tu Christina...!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…