Huyu dada ameelemewa, anaomba ushauri

Huyu dada ameelemewa, anaomba ushauri

The weakest man on earth. Mwanaume unatishia kuloga!!! Naamini Mungu anajilaumu kumfanya mwanaume huyu. Bora angetishia kumchapa mtu risasi, ila kuloga!!!
 
kwanza huyo jamaa ni ana roho ngumu... kama aliweza kumkataa mtoto wake mpaka anakua na miaka miwil... hivyo inawezekana anachokisema anaweza akakifanya....

chakufanya:
kifanyike kikao cha ndugu pande zote mbili (kama ikiwezekana): Ndugu wa dada wakutane na ndugu wa huyo baba ili wapate suluhu kuhusiana na huyo mtoto... yani ku solve mambo yasiende mbali sana....
kama ikishindikana kutoa suluhu then.... kama kuna ushahidi wa kutosha dhidi ya huyo jamaa.. nendeni kwenye sheria mapema... ziko taasisi za wanawake zinazotetea wanawake kwa ukaribu sana...
wanaume mbuzi kama hao waoe hizo pombe pumbafu..... sio kutishia watu amani.....
 
Mpe pole sana huyo dada,Mungu ni mwema siku zote,huyo kichaa ataangaika kwa waganga na waganguzi lakini hataweza kupindua apangalo Mungu,kwani yeye ndo alimuumba huyo mtoto na sio huyo mwendaazimu asiejua leo na kesho.
 
Uchawi ni hulka kama rangi ya ngozi huwezi ibadili.

Hata akimpa jina la huyo mama bado atazua kisa chengine ili amloge kama ana tabia ya kuloga. Ushauri wangu ni kwamba kulala na kuamka kwetu MUNGU ndiye ajuaye, amkabidhi mtoto mikononi mwa Muumba atakuwa salama tu, uchawi kitu gani kwani??!
 
Back
Top Bottom