Godlover
Senior Member
- Jul 2, 2024
- 104
- 99
Matayo 19:23 Yesu akawaambia wanafunzi wake, Amin, nawaambieni, ya kwamba itakuwa shida tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.Ilisemaje lete nukuu hzo na ma andiko hayo
Matayo 19:23 Yesu akawaambia wanafunzi wake, Amin, nawaambieni, ya kwamba itakuwa shida tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.Ilisemaje lete nukuu hzo na ma andiko hayo
Nchi za kibepari zina abudu mafanikio lakini ni yale yaliyopatikana kwenye njia halali na sio kwa ujanja au ulaghai.......kama vile kukwepa kodi, kuuza mihadarati na mengine yaliyo kinyume na sheria zao.......Kwa sisi wajamaa sawa, ila kwenye ulimwengu wa kibepari haya mambo hayapo, angalia Uingereza na Marekani vijana wadogo tu ni matajiri wakubwa, muhimu ujue siri ya mafanikio ni nini.
Na sisi ambao hatujafanikiwa tujifunze kwao, tufanye nini ili nasisi tufanikiwe.
Huyu ni mmoja tu kati ya watu wanaopata hela za manyoka toka kwa mganga wa kienyeji huko Tunduma.Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
duh! Bongo unafiki hautoisha ila una hoja usikilizwe mkuuKijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Kaka yake yuko Uyole anaishi maisha ya kawaida tu. Si angemsaidia huyo kwanza atoke kimaisha!!Nachomkubali dogo anajiamini na ana authority/amri. Anasema wamemsema yeye sijui freemasons hela zake za kiuchawi lakini anashukuru wazazi wake na ndugu zake wote ni wazima.
Umeuliza swali kwa kuona kuwa million 40 ni fedha nyingi au kwa sababu alizitumia kwa watu wasiokuwa wa familia yake?Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Imuhoji alikuibia Mkuu... Acha unoko na kujudge maisha ya mwanaume mwenzako ukute mwenzio anafukuliwa au pesa zinajaa ndoo akiamka asubh... Ni kama yule aliyekuwa akilala kwenye jeneza kama ni simple kajaribu...Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Masikin tafuta pesa,wenye hela wanawaza kuongeza mitaji yao na kukuza biashara mda wa kujadili mtu tunatoa wap😂😂Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani
Jana aliwachukuwa watoto yatima 120 na kwenda kuwanunulia vitu mlimani city iliyo gharimu milion 40
Jmaa huyu anatoa wapi pesa na serklali na usalama wa taifa huyu isije kuwa. Ni muhujumu uchumi kwahyo kwa kuwa tumia watoto yatima ili atakatishe pesa pesa
Naomba mamlaka imkamate kisha imuhoji
Kwa mazingira hayo, karibia matajri wote wa huku watakuwa kwenye hiyo changamoto.Nchi za kibepari zina abudu mafanikio lakini ni yale yaliyopatikana kwenye njia halali na sio kwa ujanja au ulaghai.......kama vile kukwepa kodi, kuuza mihadarati na mengine yaliyo kinyume na sheria zao.......
Ndio maana kule kila tajiri ukifungua profiles zake unakuja kujua anajihangaisha na nini tofauti na huku kwetu.......
Nakumbuka Mzee R.A. Mengi,Lakini mkuu kufanya yote hayo inahitajika pesa ,regardless anapesa kweli au hana huwezi kufeki unapesa ukusanye yatima zaidi ya 120 wakale kuku KFC shoping mlimani city ,uwape mitaji mama ntilie na matukio mengine ya misaada kama hayo bila pesa hutoboi na wala tusingekuwa tunamuongelea hapa..san tungemsikia anagombe jambo mahali flani lakini mpango huo hana..ila maskini tunamakasiriko sana aisee emb maskini mwingine ajitokeze afake kama Chief tumuone
Ao unsowataja nuksi tuUmewahi ona matajiri kama Rostam Aziz,Mo Dewji, GSM, Bakhresa wakipiga picha kama hivi?
Wewe ndo chief G????Acha wivu huu ni wivu tu hamna lolote tafuta hela masikini wewe
Hata kama ameiba angalau amewapa masikini kuliko wezi wanaotuibia huku wanaojenga Dubai.Kijana naona anakuja kwa kas sna na hata saa hakuna haujuwae kuwa alikuwa nani na anafanya biashara aya kaz gani