Huyu Binti wa Kipemba anahitaji nini kutoka kwangu??

Ushauri wako nimpige chini au nimlie timing ili aje ajae mwenyewe kwenye kumi na nane zangu?? Ushauri tafadhali
ushauri wangu wa mwisho kama una mpango nae sana basi anza KULA TUNDA ili hata akija kuleta za kuleta mbele unakua umepata haki yako ya UPENDO.

ila kumbuka wapemba ni WACHAWI sana. Kukurushia JINI ni suala la kutamka tu.

kukulazia Uume maisha yote ni dakika tu
 
Heri ya krismasi wakuu!?
Twende kwenye mada moja kwa moja,

Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini,
Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University Examination),sasa wakati natoka class,nikakutana na binti kavaa ushungi, rangi yake kwa mbali kama Muarabu ila sio Muarabu (Ni Mshiraz).........akanivutia sana coz watoto wa rangi hizi hunivutia sana,japo anapenda sana kuvaa juba yani ninja na me sitaki mavazi kama hayo coz ni utumwa kwa mwanamke(akiwA na mimi anatoa juba)

Tukasalimiana,akanipa namba zake,nikaondoka.........nilipofika hostel nikamtext akawa ananijibu kama vile hataki yaani zile short texts nahisi mnaelewa,basi nikaona hiki kidem miyeyusho sana nikaamua simtafuti tena na ata no ake nafuta

Siku iliyofuata akanitext nikamuuliza wewe nani?? Akajitambulisha na akaniuliza kwani namba yake sikui-save?? Nikamwambia nilisahau......Kuna siku niliamua kumu-approach akanijibu hivi;

"Wewe ni mtu wa bara na mimi ni Mpemba tena mbaya zaidi wewe ni Christian,unafikiri mimi nitaweza kuwa nawe? Please tafuta mwingine" Nikamjibu "poa" tukaendelea kuwa marafiki wa kawaida tu

Chuo kilipofungwa akarudi kwao,Kuna siku alinitafuta akiwa kwao akaniuliza mbona uwa simtaffuti ata tu kumjulia hali nikamjibu simu nilipoteza na ata no ake nilikuwa sina,tukazungumza mengi ila niliona kama vile ananitaka,ikanibidi nimkumbushie lile jambo langu na kweli akanijibu;

"Nimekubali ila naomba usije ukanisaliti coz nataka niwe nawe maisha yangu yote na ata ndoa tutafunga serikalini kama unakubali lakini coz wewe ni mlokole huwezi kuslim na me sitaki uwe Muislam coz sitaki ndoa za mitala na mimi sitaki kuwa Christian" basi tukaingia kwenye mahusiano namna hiyo

Ila nilipoomba mzigo,akanijibu yeye ni bikra hivyo hawezi kunipa mpaka siku ya ndoa,nikampiga sana maneno ila akashikilia msimamo wake,nikasema fresh ila akaniambia kama nitakuwa tayari nisubiri afike walau mwaka wa tatu ndo anipe ili ata kama atapata Ujauzito iwe rahisi kulea mtoto baada ya masomo,nikaona ana hoja za msingi sana.........anapaswa kusikilizwa

Chuo kilipofunguliwa akaja Dar,penzi likaanza kumea,sasa kuna siku moja nilimuomba simu yake akanipa ila nikaona kama vile Kuna text siielewi imeingia kwenye simu,nikamuuliza huyu ni nani akanijibu rafiki ake wa kiume,ila nilipoendelea kumuhoji sana akanipa mkanda mzima,akasema

"Fulani nisamehe,leo nitakwambia ukweli,Kuna mtu wa Imani yangu nilikuwa nae kwenye mahusiano ila alikuwa anataka sana sex,Kuna siku niliambiwa kuwa anapenda kwenda Kitambaa cheupe kununua Malaya,na mimi nilipo jihakikishia nikaamua kuachana nae ila kwa sasa hapa anataka turudiane ndio maana anatuma hizo sms" niliposoma zile texts niligundua ni kweli analosema nikamwambia Sawa ila angeniambia kabla coz hii inajenga picha nisije kumuamini tena........nikamsamehe na maisha yakasonga

Kuna siku tena tukakutana ila ghafla Kuna jamaa alikuwa anampigia sana simu ila hapokei,baadae nikaona kama vile wanachat sana,nikasema asinichezee,nikachukua simu yake kwa nguvu ila akanizuia kwa nguvu zote nisisome texts za yule mtu wanae chat nae,nikaona hapa nazungukwa,nikamwambia kuanzia leo asinitafute tena akanibembeleza sana ila nikashikilia nsimamo wangu............nikampiga chini kiaina japo nilimpenda sana

Kuna siku nilianza kummiss,nikaona nirudishe penzi coz uwa siwezi kumuacha mtu kirahisi bila kumnyadua kwanza,nikamtext akanijibu angependa tuonane nikamjibu poa........tukakutana ila nilipomwambia kuhusu kurudiana akawa anajiuma uma sana,mara ooh alijaribu kuniomba msamaha ila nikaghairi so now ameamua ku-focus kwenye masomo,nikajua tayari uwenda kämpata mwingine bora kuliko mie,nikamwambia basi fresh

Ila sasa amekuwa akinisumbua mara kwa mara na sms na kaanza kuniita me rafiki yake,mara kanimiss sana,mara nimsaidie ushauri,mara ananitumia picha zake whatsapp na email.......yaani nawaza nifanyeje ili niweze kuwa nae mbali na nimsahau kabisa kwenye maisha yangu maana naona kuwa nae karibu ni kujipa pressure tu bure

Karibuni jamvini!!!!
Acha utoto we focus na masomo
 
ushauri wangu wa mwisho kama una mpango nae sana basi anza KULA TUNDA ili hata akija kuleta za kuleta mbele unakua umepata haki yako ya UPENDO.

ila kumbuka wapemba ni WACHAWI sana. Kukurushia JINI ni suala la kutamka tu.

kukulazia Uume maisha yote ni dakika tu
Duuh umenifanya nimpige chini mazima
 
hebu tuoneshe ka screenshot kidogo vile unachat nae
Ni hii hapa,ali-screenshot mwenyewe kwenye simu yake,akanitumia whatsapp kwamba ni kwa nämna gani nilivyo mkaidi sijibu texts zake👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20231226-071335_Drive.jpg
    Screenshot_20231226-071335_Drive.jpg
    128.2 KB · Views: 7
Ni hii hapa,ali-screenshot mwenyewe kwenye simu yake,akanitumia whatsapp kwamba ni kwa nämna gani nilivyo mkaidi sijibu texts zake👇👇
Next time usirudie hiki kitendo mwanamke hatumiwi message nyingi kama ulichofanya, message ni moja asipojibu usitume nyingine mpaka akujibu
 
Heri ya krismasi wakuu!?
Twende kwenye mada moja kwa moja,

Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini,
Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University Examination),sasa wakati natoka class,nikakutana na binti kavaa ushungi, rangi yake kwa mbali kama Muarabu ila sio Muarabu (Ni Mshiraz).........akanivutia sana coz watoto wa rangi hizi hunivutia sana,japo anapenda sana kuvaa juba yani ninja na me sitaki mavazi kama hayo coz ni utumwa kwa mwanamke(akiwA na mimi anatoa juba)

Tukasalimiana,akanipa namba zake,nikaondoka.........nilipofika hostel nikamtext akawa ananijibu kama vile hataki yaani zile short texts nahisi mnaelewa,basi nikaona hiki kidem miyeyusho sana nikaamua simtafuti tena na ata no ake nafuta

Siku iliyofuata akanitext nikamuuliza wewe nani?? Akajitambulisha na akaniuliza kwani namba yake sikui-save?? Nikamwambia nilisahau......Kuna siku niliamua kumu-approach akanijibu hivi;

"Wewe ni mtu wa bara na mimi ni Mpemba tena mbaya zaidi wewe ni Christian,unafikiri mimi nitaweza kuwa nawe? Please tafuta mwingine" Nikamjibu "poa" tukaendelea kuwa marafiki wa kawaida tu

Chuo kilipofungwa akarudi kwao,Kuna siku alinitafuta akiwa kwao akaniuliza mbona uwa simtaffuti ata tu kumjulia hali nikamjibu simu nilipoteza na ata no ake nilikuwa sina,tukazungumza mengi ila niliona kama vile ananitaka,ikanibidi nimkumbushie lile jambo langu na kweli akanijibu;

"Nimekubali ila naomba usije ukanisaliti coz nataka niwe nawe maisha yangu yote na ata ndoa tutafunga serikalini kama unakubali lakini coz wewe ni mlokole huwezi kuslim na me sitaki uwe Muislam coz sitaki ndoa za mitala na mimi sitaki kuwa Christian" basi tukaingia kwenye mahusiano namna hiyo

Ila nilipoomba mzigo,akanijibu yeye ni bikra hivyo hawezi kunipa mpaka siku ya ndoa,nikampiga sana maneno ila akashikilia msimamo wake,nikasema fresh ila akaniambia kama nitakuwa tayari nisubiri afike walau mwaka wa tatu ndo anipe ili ata kama atapata Ujauzito iwe rahisi kulea mtoto baada ya masomo,nikaona ana hoja za msingi sana.........anapaswa kusikilizwa

Chuo kilipofunguliwa akaja Dar,penzi likaanza kumea,sasa kuna siku moja nilimuomba simu yake akanipa ila nikaona kama vile Kuna text siielewi imeingia kwenye simu,nikamuuliza huyu ni nani akanijibu rafiki ake wa kiume,ila nilipoendelea kumuhoji sana akanipa mkanda mzima,akasema

"Fulani nisamehe,leo nitakwambia ukweli,Kuna mtu wa Imani yangu nilikuwa nae kwenye mahusiano ila alikuwa anataka sana sex,Kuna siku niliambiwa kuwa anapenda kwenda Kitambaa cheupe kununua Malaya,na mimi nilipo jihakikishia nikaamua kuachana nae ila kwa sasa hapa anataka turudiane ndio maana anatuma hizo sms" niliposoma zile texts niligundua ni kweli analosema nikamwambia Sawa ila angeniambia kabla coz hii inajenga picha nisije kumuamini tena........nikamsamehe na maisha yakasonga

Kuna siku tena tukakutana ila ghafla Kuna jamaa alikuwa anampigia sana simu ila hapokei,baadae nikaona kama vile wanachat sana,nikasema asinichezee,nikachukua simu yake kwa nguvu ila akanizuia kwa nguvu zote nisisome texts za yule mtu wanae chat nae,nikaona hapa nazungukwa,nikamwambia kuanzia leo asinitafute tena akanibembeleza sana ila nikashikilia nsimamo wangu............nikampiga chini kiaina japo nilimpenda sana

Kuna siku nilianza kummiss,nikaona nirudishe penzi coz uwa siwezi kumuacha mtu kirahisi bila kumnyadua kwanza,nikamtext akanijibu angependa tuonane nikamjibu poa........tukakutana ila nilipomwambia kuhusu kurudiana akawa anajiuma uma sana,mara ooh alijaribu kuniomba msamaha ila nikaghairi so now ameamua ku-focus kwenye masomo,nikajua tayari uwenda kämpata mwingine bora kuliko mie,nikamwambia basi fresh

Ila sasa amekuwa akinisumbua mara kwa mara na sms na kaanza kuniita me rafiki yake,mara kanimiss sana,mara nimsaidie ushauri,mara ananitumia picha zake whatsapp na email.......yaani nawaza nifanyeje ili niweze kuwa nae mbali na nimsahau kabisa kwenye maisha yangu maana naona kuwa nae karibu ni kujipa pressure tu bure

Karibuni jamvini!!!!
Chimba kaburi moyoni mwako sometimes zika watu wakiwa hai...

Sometimes jifunze ku LET IT GO itakusaidia maishani
 
Next time usirudie hiki kitendo mwanamke hatumiwi message nyingi kama ulichofanya, message ni moja asipojibu usitume nyingine mpaka akujibu
Kaka hujanielewa mimi siwezi kufanya huo upuuzi wa kumtext mtu namna hiyo

Hiyo alinitumia whatsapp yeye mwenyewe akinilaumu ni kwa jinsi gani sijibu texts zake,narudia tana SIO MIMI NI ZA MPEMBA
 
Achana nae haraka. Kama shida ni upwiru, piga puli.

Hao watu wa visiwani wanaoana wenyewe kwa wenyewe na lazima wawe dini moja. Na hawachelewi kukurushia JINI.
 
wewe sio mlokole, acha kuchafua walokole. pili, kifo kipo mlangoni mwako au ulemavu wa kudumu. nenda kwa mtu mzima akushauri kuhusu hao wazanzibar, utakuja kujuta maisha yako yote. kama unapenda maisha yako,kimbia kwa nguvu zote, futa namba, na mwambia asikujue maisha yake yote. kimbilia kwa Yesu kwasababu hakika kukuloga atakuloga.
Screenshot_20231225_091749_com.opera.mini.native.jpg
 
Kaka hujanielewa mimi siwezi kufanya huo upuuzi wa kumtext mtu namna hiyo

Hiyo alinitumia whatsapp yeye mwenyewe akinilaumu ni kwa jinsi gani sijibu texts zake,narudia tana SIO MIMI NI ZA MPEMBA
Hapo sawa nakushauri achana nae mnapotezeana tu muda but usimwache kwa hiyo style ya kukaa kimya utamuumiza kiakili si vizuri
 
Back
Top Bottom