Huwa nasema hapa, tuboreshe masomo ya Hesabu na sayansi watu hawaelewi
Hebu anayetaka kufanya utafiti; Aombe kukataa bweni wiki moja kwenye shule inayofundisha PCM & PCB
halafu aombe tena wiki moja kukaa bweni kwaa shule inayofundisha HKL, HGK, nk nk
akija hapa atagundua kuwa, wanafunzi wanaosoma huko wana personalities mbili tofauti kabisa...