Huyu binti ni Genious

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
7,821
Reaction score
8,691
HUYU BINTI NI GENIUS!
Tangu zile video za wanafunzi wanaoigiza 'UMAFIA' baada ya kuhitimu zienee mitandaoni, ninachokiona mitandaoni ni lawama na kuwakatia watoto wa wenzetu tamaa, badala ya kutafuta ufumbuzi au kutoa fikra chanya!
HAWA NI WATOTO WANACHEZA, HAKI YAO, NA MIONGONI MWAO NI HUYU BINTI PICHANI AMBAYE NAONA NINACHELEWA KUMUONA AKIOLEWA NA NDUGU AU RAFIKI WA KARIBU!
HIKI NI KIPAJI KINACHOTAKA KUENDELEZWA NA SIO LAANA INAYOTAKIWA KUPATILIZWA!
 
Hii kitu imepangwa makusudi.. Kuelekea vugu vugu la MO 29 drama zitakuwa nyingi.. Samia haoni aibu kuaribu watoto wadogo ili kutimiza jambo lake...Haiwezekani video za namana hiyo zitokee kwenye zaidi ya shule tano tofauti..hawezekani...
Mlokole na upumbafu kama uji na mgonjwa
 
Hizi DP zako mkuu πŸ˜‚β—πŸ™ŒπŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…