Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,270
- 1,111
Aisee dozi nilikuwa nampatia ya kueleweka tu
Khaaaaaaaaaaaaaaaaa! Yaani vyote hivyo mnatoa, na mm naenda kumwambia Baba K aniache , nikawe small house, kumbe wenzetu wanafaidi ile mbaya. Maana umegundua mko 3 , lakini bado hukubaliani na hali halisi na kuchukua hatua madhubuti ukarudi kwa mkeo, unakuja hapa jamvini kuomba ushari. Tena unamsifia kuwa anakupa Dozi nzuri, Maweeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!Ni kweli si unajuwa tena vigharama vyake. kodi ya nyumba, transport, simu, outing, pocket money etc
Mimi ni mwanaume (40yrs) mwenye mke wangu na watoto wawili. Nina uhusiano pia na binti wa miaka 26. Tumekaa na huyu binti kama mwaka ila nikagundua pia kuna kijana ana uhusiano nae, baada ya kufuatilia nika prove na huyu binti akakubali kwa point kwamba huyu kijana atamuoa. Nikawa mkali lakini ilifika muda nikakubali ila nami nilikuwa napewa huduma ya ngono kama kawaida. Siku tatu zilizopita nilitoka na huyu binti tukawa tuko sehemu ila simu yake ikawa inapigwa kila saa lakini akawa anamdaganya yule mtu. Kumuuliza akasema ni mtu ana biashara naye. Tulivyokuwa room akiwa amenogewa simu ikapigwa tena na mimi nikaichukua kuangalia simu inayoita ame save MY LOVE. Tulivyomaliza shughuli nikambana aseme akasema huyu anataka kumuoa wakati siyo yule mwengine kwani nilijaribu kama kutuma mpesa nikaona jina ni tofauti na yule mwengine. naye akakiri kwamba ni mwingine na wakati yule wanyuma bado yuko naye. Sasa huyu binti ni kwamba ana wanaume wa3 permanent, aisee ina maana ratio ya kutiwa hapa ni at least mara 6 kwa wiki. Sasa ananiomba msamaha je wana JF nisamehe? Kweli binti ni mzuri na hata mzigo anatoa vizuri sana.[/QUOTE/]
Wala hilo lisikushtue na wala usiwe na wivu coz hata we ni cheater vilevile,unamcheat wife wako so acha naye binti apate wa kumuoa sababu we huwezi kumuoa as una mkeo unachofanya hapo ni playing with her.
Ndo ujue kaka inavyoumiza kuwa cheated mfikirie wife wako siku akijua unamcheat atajisikiaje?
Nashukuru kwa ushauri niliopewa na JF and I have made up my mind huyu binti ni MALAYA na simtaki tena, ngoja aendelee na umalaya wake na mimi nimeamua kutulia na mke wangu. Nitaungama dhambi zangu na najuwa Mungu atanisamehe.
Ushauri wazee wenzangu tusihangaike na hivi vibinti ni pressure tu na kutafuta magonjwa.
Acha fix wewe, hivyo ndo vitamu pia vinakuwa havijatumika sana. Cha msingi ni kuwa mjanja halafu unavila kwa foleni ila kupiga hemai..! Huyu lofa alijenga kibanda ndo maana imekula kwake..!Hapa nimerudi mdogo mdogo mkuu. yani ukitaka pressure chukua hivi vibinti vya kuanzia 20 to 30 hakuna rangi utaacha kuona.
Mimi ni mwanaume (40yrs) mwenye mke wangu na watoto wawili. Nina uhusiano pia na binti wa miaka 26. Tumekaa na huyu binti kama mwaka ila nikagundua pia kuna kijana ana uhusiano nae, baada ya kufuatilia nika prove na huyu binti akakubali kwa point kwamba huyu kijana atamuoa. Nikawa mkali lakini ilifika muda nikakubali ila nami nilikuwa napewa huduma ya ngono kama kawaida. Siku tatu zilizopita nilitoka na huyu binti tukawa tuko sehemu ila simu yake ikawa inapigwa kila saa lakini akawa anamdaganya yule mtu. Kumuuliza akasema ni mtu ana biashara naye. Tulivyokuwa room akiwa amenogewa simu ikapigwa tena na mimi nikaichukua kuangalia simu inayoita ame save MY LOVE. Tulivyomaliza shughuli nikambana aseme akasema huyu anataka kumuoa wakati siyo yule mwengine kwani nilijaribu kama kutuma mpesa nikaona jina ni tofauti na yule mwengine. naye akakiri kwamba ni mwingine na wakati yule wanyuma bado yuko naye. Sasa huyu binti ni kwamba ana wanaume wa3 permanent, aisee ina maana ratio ya kutiwa hapa ni at least mara 6 kwa wiki. Sasa ananiomba msamaha je wana JF nisamehe? Kweli binti ni mzuri na hata mzigo anatoa vizuri sana.
Mimi sina shida ila kumsaidia ni lazima, yeye angekuwa na mchumba m1 sawa. sasa wachumba wa2 na mimi wa3
Hapa nimerudi mdogo mdogo mkuu. yani ukitaka pressure chukua hivi vibinti vya kuanzia 20 to 30 hakuna rangi utaacha kuona.
wewe ni mjinga kabisaaa na kama wewe ni mkristo umetenda dhambi ya usaliti mkubwa na matunda yake utayaona kwa watoto wako baadae, nenda katubu, tena huna akili kabisaa kuomba ushauri kwa watu wazima na wenye akili zao kama jf, very sooon utakufa kwa ukimwi kama usipotubu na kurudi kwa mungu, kwani mke wako ana kosa gani mpaka umtendee unyama huo mkubwa, tubu hili pepo ngono likutoke