Huyu binti kanikera naomba ushauri

Kabla haujamuacha muulize mkeo nae anatoka na vijana wangapi. Mwanaume anaetoka nje ya ndoa hamtimizii mkewe, period!
 
Hahaha, endelea nae jamani! Mwenzio hajatoshelezea hela ya kununua kagari. Ukimuacha itamuaffect. Mungu kakuonyesha ili umuonye tu yaishe. Hahahaa, nacheka kama mazuri!
Majuzi nilimjibu mdada anahaha mumewe kanuna. Nikamuambia labda anatiwa stress na nyumba ndogo, as long as kanuna ghafla ignore him. Siku hizi hatubebeshani stress aisee. Nyamayao, ushatoa ushauri jamani? Njoo dada.
Ni kweli kaka na nina uhakika nitamshinda shetani, ni mambo ya kishenzi sana na ninadhani Mungu kaamua kunionyesha kinyume na hapo ningekuwa naona kawaida tu.
 
Last edited by a moderator:
Sasa wewe na uzee wako huo atakupeleka wapi???!!!.... We shida yako si mzigo, kula. Kama hutaki kula na wenzio sepa.. Wewe jua tu kwamba kwake wewe ni wallet inayotembea...
 
Kiukweli asikudanganye mtu mapenzi ni hisia je, huyo binti ana ubongo wa aina gani kuwa nahisia kwa watu zaidi ya mmoja make kama unaye na mwingine anapiga inamaana hisia zinaamia kwa yule mwingine hata huyo wa tatu akipiga cm hisia zitaruka vile vile kwahiyo asikudanganye na mapenzi yake motomoto huo ni uhuni tu anajifunza mkilala utadhani ni wewe tu anakufaidisha kumbe kajifunza tu kwahiyo nakushauri uachane naye make hana nia njema kwako zaidi ya ukimwi
 
we mzee jiheshimu bwana unadhihirisha utu uzima wako ovyo jukwaani.
 
Men psyche ni kitu kibaya sana, unaiba lakini utaki uibiwe? Quid pro quo brother, kimada wako naye anataka siku moja awe na mme wake peke yake.. Ndio anatafuta hivyo.
 

Well noted ndugu and I have already made up my mind, I should just let her go byeeeeeeeeeeeeeeee swt
 
samehe tu we mtu mzima mbona mkeo akijua naye atakusamehe tu..sasa hapo ni huyo binti tu kama mkeo nae analiwa sijui itakuaje....nyie watu mlioooa mlikuaga wapi kufanya haya mambo badala mtu funze kukaaa na wake vizuri nyie mnaharibu kabisa daaah...kiukweli ur discuting...old man
 
mtumishi wa shetani anaomba msaada kwa wacha Mungu aisee hii kali ya mwaka
hata shetani anamshangaa. namuonea mkeo huruma sana
 
Wewe ndio unaijua dozi ya kueleweka kwake? Acha kujitafutia majanga wewe, maana kama sio Ukimwi basi siku utafumaniwa na hao vijana wakukung'ute iwe soo ++ kwa mkeo. Tulia na wako; nyama ile ile.

Aisee dozi nilikuwa nampatia ya kueleweka tu
 
Sijui unacholalama, wezi wawili mmekutana, namuonea huruma mkeo huenda umeshamgea ngwengwe/
 
dahhhh

Hivi Jamani kwanini unapenda kuchezea maisha yako hivyo??
Hivi humfikirii mkeo na watoto? Ukipata ngoma je utamsingizia nani??

Huyo bi dada ana watatu na hao vijana wengine usikute
wao wasicha wengine nje.. Kama si kujitafutia magonjwa ya
zinaa ni nini tu ?

Dahhh tuko tofauti sana duniani.
 

hahha mwana unaanza kuwa jealous tena...wee bwana vimada ni kwa starrhe na kwamba anakupa wewe basi na wengine wanamega kaka....ama unapiga kavu kavu maana nyie wanandoa bana ndom kwenu sumu.
usipate presha bure la msingi hapa ni kwamba weye unapata share yako...nani mwengine anasasambua papuchi hayo sio muhimu kwako.
 

Watanzania wanaogopa talaka kuliko UKIMWI! Go figure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…