Huyu binti haeleweki

Huyu binti haeleweki

habar za usiku huu wakuu wa MMU. mm ni kijana ninaeishi maeneo ya kinondoni. sababu za kuanzisha huu uzi ni kuomba ushaur juu ya tabia ya msichana anayekaa nyumba jirani na yetu.
huyu mdada nilimtongoza wk mbili zilizopita, jibu lake likawa kuwa anamtu wake wanaependana. nilijaribu kumsihi zaidi lakin jibu lake likawa ni hilohilo.
ijumaa iliyopta sasa nilimkaribisha chumbani kwangu na akakubali kuja, wakat tunapga story tukajikuta tumeishia kitandani tukila lile tunda la mti wa katikati. baada ya kumaliza alinilaumu mm kuwa eti nmemsababishia amsaliti mpenzi wake.
cha ajabu juzi jioni kaja tena room (kwa kumkaribisha) nilipomuomba tena lile tunda akakubali na nikalimega tena. sio siri mi nikajua kuwa habari za huyo mtu wake ni just kunipima tu ila kila ninapomkumbushia ili anikubali ili nijue kuwa officially mimi ni wake yeye anaendelea na kushikilia msimamo wake kuhusu huyo jamaa yake, na kila ninavyomwangalia kama nikiomba tunda kuna possibility kubwa kuwa atanipa tena. so huyu demu ni kweli anamtu au ndo mchaluko mwengine nimeuvagaa ? wakuu naombeni ishauri nisitishe mawasiliano au niendelee kumega kisela tu maana mtoto ni mtamu vibaya mno.

Nyie endeleeni kumega tu. Ila kaukimwi kapo. Take Care.
 
Well said mkuu kula like.
Kuna dada mmoja yeye kila anavyotongozwa jibu lake nina mtu wangu tayari. Hivyo ukiridhika mnaendelea na yenu ila kuna wakati anakuwa nae kweli na wakati mwingine hana ila wewe lazima ujue ana mtu.

Anachofanya sasa; ikitokea mwingine kamtongoza ilhali yupo na wewe jibu lake ni hilo hilo nina mtu tayari. Nae akikubaliana na hali ilivyo wanaendelea. Hapo wanaume wote wawili wanakuwa wanajua huyo dada ana mtu wake.

Hajawahi kufumaniwa. Akikutwa na mmojawapo anamwambia ndio mtu wangu nilokwambia, kama barabarani wakikutana mwanaume anakaa kimya anajua labda ndo huyu niloambiwa. Aisee huyu dada huwa simuelewi kabisa
 
Huyo dada nimempenda isee

kwi kwi na wewe ushaambiwa mti wa watu bado tu unaomba kuchuma matunda yake
 
habar za usiku huu wakuu wa MMU. mm ni kijana ninaeishi maeneo ya kinondoni. sababu za kuanzisha huu uzi ni kuomba ushaur juu ya tabia ya msichana anayekaa nyumba jirani na yetu.
huyu mdada nilimtongoza wk mbili zilizopita, jibu lake likawa kuwa anamtu wake wanaependana. nilijaribu kumsihi zaidi lakin jibu lake likawa ni hilohilo.
ijumaa iliyopta sasa nilimkaribisha chumbani kwangu na akakubali kuja, wakat tunapga story tukajikuta tumeishia kitandani tukila lile tunda la mti wa katikati. baada ya kumaliza alinilaumu mm kuwa eti nmemsababishia amsaliti mpenzi wake.
cha ajabu juzi jioni kaja tena room (kwa kumkaribisha) nilipomuomba tena lile tunda akakubali na nikalimega tena. sio siri mi nikajua kuwa habari za huyo mtu wake ni just kunipima tu ila kila ninapomkumbushia ili anikubali ili nijue kuwa officially mimi ni wake yeye anaendelea na kushikilia msimamo wake kuhusu huyo jamaa yake, na kila ninavyomwangalia kama nikiomba tunda kuna possibility kubwa kuwa atanipa tena. so huyu demu ni kweli anamtu au ndo mchaluko mwengine nimeuvagaa ? wakuu naombeni ishauri nisitishe mawasiliano au niendelee kumega kisela tu maana mtoto ni mtamu vibaya mno.

Ili iwe rahsi kukutema akimpata anaemtaka yeye.any time majeshi yanahama
 
huyo anataka mmegane tu,si unajua majirani ni kitu kimoja huwa haina maana kunyimana,anachokuambia ni kweli kwamba ana boy inaonesha ni mstarabu alafu ana huruma sana we gonga tu usitake awe wako.
 
Tumechoka na mambo yenu ya kitoto, hamna kazi zingne za kufanya?
af ako kanaonekana bado katoto thsy mnafanya mambo yenu bila mipango!!
nyambafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!
kojoa ukalaleeee.
 
Hapa mjini tena "Kino"?....hakuna cha mtu we megaaaaaa mpk mwenyewe aseme basi,watu wanatafuniwa mpk na wachungaji na mashehe unaotegemea watusuluishe....hapa na kumeganaaa kwa kwenda mbele!
 
Back
Top Bottom