Ubavu
JF-Expert Member
- Jun 19, 2012
- 2,789
- 3,279
- Thread starter
- #21
Kuna dada mmoja yeye kila anavyotongozwa jibu lake nina mtu wangu tayari. Hivyo ukiridhika mnaendelea na yenu ila kuna wakati anakuwa nae kweli na wakati mwingine hana ila wewe lazima ujue ana mtu.
Anachofanya sasa; ikitokea mwingine kamtongoza ilhali yupo na wewe jibu lake ni hilo hilo nina mtu tayari. Nae akikubaliana na hali ilivyo wanaendelea. Hapo wanaume wote wawili wanakuwa wanajua huyo dada ana mtu wake.
Hajawahi kufumaniwa. Akikutwa na mmojawapo anamwambia ndio mtu wangu nilokwambia, kama barabarani wakikutana mwanaume anakaa kimya anajua labda ndo huyu niloambiwa. Aisee huyu dada huwa simuelewi kabisa
huyu ndo itakuwa mchezo wake kabsaa.