Huyu Binti anawezaje kuacha hii tabia?

Huyu Binti anawezaje kuacha hii tabia?

Wala sikujua kama ameingiza huko
22.jpg
 
Hayo ndio MADHARA ya Uchumba wa muda mrefu. Uchumba wa kienyeji umekutana tu barabarani mnaanzisha mahusiano hata Wazazi hawajui.

Ndoa hamtaki sasa unamuomba nani ushauri?? Kwani sisi ndio tuliokushauri uwe na huyo binti kimahusiano, pambana mwenyewe.

Utakuja kuwekewa bompas kwenye mirija ya kibofu cha mkojo kutoka na mavi kuganda kwenye mirija ya mkojo upitishiwe mirija artificial akili ikukae sawa
 
Umekutana na mtu mzoefu, tena aliyekubuhu. Itakuwa ngumu kumzuia kwa mara moja, labda jaribu kuongea nae taratibu aache huo mchezo maana ni hatari kwa afya yake.

Siku madhara yakianza atamzidi hata mgonjwa wa fistula.
 
Kama unampenda kweli kama unavodai acha huo mchezo mchafu kataaa uyo Binti inaonekana ni mzoefu wa kuingiliwa ameshakubuhu nakushauri achana nae atakuharibia maisha Kwa kukuletea addiction ya hiyo kitu mwshowe na wewe utaanza kuingiliwa ....ni dhambi na kitendo cha laana na uchafu sana mbele za Mungu
 
pole kwa kuingizwa kwenye jamii ya mafirauni na firauni la kike kirahisi namna hiyo.

Pepo la ulawiti na uasherati ni baya sana, likikuingia mwilini, huwa halitoki kirahisi akilini na rohoni.

Nitakuombea na Mungu wa baraka atawasaidia....

Kufanya mapenzi kinyume na maumbile ni dhambi mbaya sana.

Ni ukatili kwa utu wako mwenyewe, kitendo hicho kina madhara makubwa sana kwa afya yako mwenyewe, na zaidi sana inahatarisha pakubwa Uhai wako mwenyewe ambao ni zawadi ya Bure kutoka kwa Mungu Mwenyezi.
 
"Sikujua kama nimeingiza huko"

Hiyo phrase ina walakini, unless uwe unafanya mapenzi kama kuku(faster), ni ngumu sana wewe mwanaume ambaye ni dominant kwenye tendo, eti muda wote usijue umeingiza wapi.
 
Kupata maradhi ni rahisi sana, usiifurahie hiyo tabia. A anal sex itakupa maradhi hadi ukimwi tena chap sana.
 
Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri juu ya jambo hili; Week mbili tangu nikutane na huyu binti na nimekuwa nae kwa mahusiano na tumeshaanza kutambuana kikubwa ...
Ww subiri kuwekwa pipe mzee na hawana huruma madaktari wa sikuizi watapokuweka huo mpira kwa penis wakiwa wanazibua njia😆
 
Back
Top Bottom