Huyu Binti anawezaje kuacha hii tabia?

Huyu Binti anawezaje kuacha hii tabia?

Napenda kuja kwenu kuwaomba ushauri juu ya jambo hili; Week mbili tangu nikutane na huyu binti na nimekuwa naye kwa mahusiano na tumeshaanza kutambuana kikubwa tayari.

Sasa kinachonishangaza ni kuwa kwa mara ya kwanza kunipa penzi lake alinipa Anal sex tena Wala sikujua kama ameingiza huko ila nikajua amefanya hivyo kwa kuwa anataka kuniaminisha upendo wake kwangu.

Ila naona jana tena amenipa upande huo huo na wala halalamiki maumivu na huwa hataki tubadili aina hiyo ya Sex.

Sasa nataka kufaham hapa wanaJF je kwanza madhara ya Anal Sex kwangu na kwake pia na je nawezaje kumshawishi kuacha hiyo style kwani ni bint mdogo wa miaka 20yrs na yuko Chuo cha kati kati ya Jiji hapa Dar.

Ananipenda namimi nampenda kweli kweli ila naona kama ataharibikiwa na mimi pia Kiafya imekaaje?

Naombeni ushauri pls....


  • Mmemukatana week 2.
  • Anal sex unafanya.

Mkikutana na matatizo mnaenda kwa Mwamposa, mnadanganyika kwa kumsingizia shetani upumbavu wenu.

Hivi ni mjinga gani anaweza hata kufikiri unaweza shaurika?

Mimi nakuonya:

Hiyo tabia yako itakatisha furaha ya maisha yako mapema sana kabla ujajua imekuwaje.
 
Back
Top Bottom