nyanda madirisha
JF-Expert Member
- Apr 1, 2019
- 432
- 763
- Thread starter
- #81
Aisee sijuii ana waza nini pengne inawezekana akawa hajisikii powa na mimi kwenye sex au ndo ana shida ya kisaikilojiaHuyo hana hisia za mapenzi. Ana tatizo katika mfumo wake wa uzazi. Kila kitu kinaanzia kwenye vichocheo. Hasaa kwa mwanamke akiwa na tatizo hili huwa anahis unapomwingilia ni kama unamjeruhi tu.