Huyu binti anashida gani?

Huyu binti anashida gani?

Ha

Halafu katika ulimwengu wa texting..mwanaume hutakiwi ujieleze sana. Naona hapo demu akiandika neno moja , wewe jamaa unaandika maneno ishirini. Demu anakuona boya.


Ulitakiwa pale aliposema nisamehe wewe jibu kwa kifupi tu " OK"...

Utaona jinsi utakavyoishughulisha akili yake kukufikiria kama umemsamehe kweli au bado umekasirika
AHsante mkuu ntafanyia kazii hii kitu
 
Siamini nachokisoma, yan unatext na mchuchu unamuita ndugu? Ndo mana hupewi una ka ukatekisti ndan yako ilitakiwa uwe padre hii fani haikufai wrong turn. Too innocent 😂😂
Mkuu wengne hatuwez majina ya mpenzi nk nimezidisha sana namwita jina lake ni mazoea pia nadhan ntachange soon
 
Utelezi kaka naomba masaa 3 ndo napewa halafu naanza kuhesabiwa dakika mkui
Msenge huyo. Ndio maana watu wenye akili hununua malaya. Hawana muda wa kubembelezana. Unatoa huduma ya 100k kwawezi halafu mbususu unahesabiwa dk! Maa*mae achana nae chukua 50k nunua mbususu yako piigaaa, akili itamkaa sawa
 
Msenge huyo. Ndio maana watu wenye akili hununua malaya. Hawana muda wa kubembelezana. Unatoa huduma ya 100k kwawezi halafu mbususu unahesabiwa dk! Maa*mae achana nae chukua 50k nunua mbususu yako piigaaa, akili itamkaa sawa
Duh ushauri wa kibabe sana huu na wakati mwingne ni zaid ya 100k mkuu we acha tu haya mambo
 
Mkuu huduma natoa lkn nadhani hilo la kuonesha namhitaji sana ndo tatizo kiukweli ni tatzo kubwa sana yaani ananisumbua haswaa sijuii nimpotezee au sijuii nifanyeje aloo
Ukitaka kupima kina...mpotezee kwa muda, usipokee simu wala kujibu meseji, na ukijibu ni kwa kuchelewa na usijitetee
 
Kwani udamanile ogojinga?ogocha otale nyanda,mishaga gete,enzagamba jidapamagwa ne mbogoma!shauri yako
 
Kwa text hizi inaonesha una gubu sana, wanawake wachache sana wataweza kukuvumilia, kwanza huyo akija huhitaji kubembeleza.

Maamuzi ni kukamata unatia tu au unamwachia mbususu yake unamwambia aondoke maana huwezi vumilia kuangaliana na mbususu bila kuchapa
Gubu how?
 
Back
Top Bottom