Huyu binti anashida gani?

Huyu binti anashida gani?

Unaonesha umamhitaji Sana,
Afu humhudumii ipasavyo, Sasa Kageuza penzi Kama silaha ya majadiliano.

Ukiingia huo mtego UMEKWISHA

Narudia Tena, UMEKWISHA
Hahahaha apamabnie kombe kwengineko
 
Ukimuuliza mhusika anasemaje?
Mkuu ansema hajanizoea mara yeye hapendi sana sex mara ooh nachoka haraka mara mimi nataka kila saa yaani nimvurugano tu mkuu hana majibu yanayoeleweka lkn nikimwambia aje anakuja wala hazinguii shida sex ndo kipengele kigum
 
changamoto bwana iko kwenye kutoa penzi aisee nabembeleza mpaka nachoka baadaee sana ndo anakuja kunipa je shida ni upendo au nini kwa binti huy? Maana hata akinipa haonyeshi ule ushirikiano wa kwenye tendo wakuu ushauri wenu hapa
Tatizo liko kwako, unatumia lugha gani kumuandaa kisaikolojia au unamdandia tu kama jogoo
 
Tatizo liko kwako, unatumia lugha gani kumuandaa kisaikolojia au unamdandia tu kama jogoo
Aisee mkuu najitahidi sana kumpa muda wa kutosha angalau apate ham lkn wapi yeye hayumo tu aisee akiendelea hiv napiga chini aisee. Ntahangaikia mangapi aisee
 
Mkuu ansema hajanizoea mara yeye hapendi sana sex mara ooh nachoka haraka mara mimi nataka kila saa yaani nimvurugano tu mkuu hana majibu yanayoeleweka lkn nikimwambia aje anakuja wala hazinguii shida sex ndo kipengele kigum
Unamfanya vibaya hapati raha. Ukimfanya akapata raha yeye ndo atakua anakusumbua. Nikukumbushe mwanamke kulia sio ishara ya kupata raha!
 
Mkui asingekuwa anakuja sasa kama ninhivyo anakuja kufanya nini kama hapati raha aisee napiga chini rasim huyu
 
Aisee mkuu najitahidi sana kumpa muda wa kutosha angalau apate ham lkn wapi yeye hayumo tu aisee akiendelea hiv napiga chini aisee. Ntahangaikia mangapi aisee
Ni mtu wa kabila gani? Au alikeketwa?
 
Wakuuu salama? Naomba msaada wa kujua huyu binti anashida gani. N
Iko hivi niko na binti mmoja kwenye mahusiano sasa shida inakuja binti huyu nikimwambia aje home anakuja lakini akifika changamoto bwana iko kwenye kutoa penzi aisee nabembeleza mpaka nachoka baadaee sana ndo anakuja kunipa je shida ni upendo au nini kwa binti huy? Maana hata akinipa haonyeshi ule ushirikiano wa kwenye tendo wakuu ushauri wenu hapa
Picha tumuone Shemeji kabla ya Kikao, Tusijetoa ushaur kupambania Mfugo.
 
Back
Top Bottom