nyanda madirisha
JF-Expert Member
- Apr 1, 2019
- 432
- 763
- Thread starter
- #61
Mkuu hahahha sina hata jibu wa kawaida sna hatish kaka lkn nampendaPicha tumuone Shemeji kabla ya Kikao, Tusijetoa ushaur kupambania Mfugo.
Mkuu hahahha sina hata jibu wa kawaida sna hatish kaka lkn nampendaPicha tumuone Shemeji kabla ya Kikao, Tusijetoa ushaur kupambania Mfugo.
Nadhani akija next time ntamwambia tupime lkn mara zote navaa ndom mkuuPengine ana HIV, anakuonea huruma
Mkuu tunamalizaje kesi hapa niweke sawa nikuelewe mkuuTumemaliza kesi
Nakubali kaka, Upendo unaona ndani ya Moyo.Mkuu hahahha sina hata jibu wa kawaida sna hatish kaka lkn nampenda
Unaibisha kanda ya ziwaWakuu salama?
Naomba msaada wa kujua huyu binti anashida gani.
Niko hivi niko na binti mmoja kwenye mahusiano sasa shida inakuja binti huyu nikimwambia aje home anakuja lakini akifika changamoto bwana iko kwenye kutoa penzi aisee nabembeleza mpaka nachoka baadaee sana ndo anakuja kunipa je shida ni upendo au nini kwa binti huy? Maana hata akinipa haonyeshi ule ushirikiano wa kwenye tendo wakuu ushauri wenu hapa
Eeèh wewe ikoje mkuu.Bora wewe unagegeda.
nikimuita anakuja vizuri tu kutoa K sasa ndo hataki!Eeèh wewe ikoje mkuu.
Kaka tupige chini hawa watu kaka wanatuzingua aiseenikimuita anakuja vizuri tu kutoa K sasa ndo hataki!
Dhumuni kuu la kua wapenzi ni kuunganisha vikojoleo, sasa kama hilo linafeli au linfanyika kwa ukakasi hamna budi kuachana.Utaacha wangapi mkuu maana unamuacha huyu anakuzungusha kwenye sex unavamia mtumbwi wa vibwengo hamna rang utaacha kuona mkui
Yaan visingizio lukuki napiga chin nimempa last chance aiseeDhumuni kuu la kua wapenzi ni kuunganisha vikojoleo, sasa kama hilo linafeli au linfanyika kwa ukakasi hamna budi kuachana.
Mshushe thamani yake,Mkuu huduma natoa lkn nadhani hilo la kuonesha namhitaji sana ndo tatizo kiukweli ni tatzo kubwa sana yaani ananisumbua haswaa sijuii nimpotezee au sijuii nifanyeje aloo

Ahsante mkuu niko pazuri kwenye hili suala nimeshamuwekea mtego akijaa nampiga chin fasta namsubiria akija akizingua tena napiga chin moja kwa mojaMshushe thamani yake,
Mkalipie kwa Maneno makali ya kuudhi afu angalia response Yake![]()
Dah natumiaga zaid ya masaa mawili na bado hanielewag mkuu hawa watu wana mambo ya ajabu sana asieeAkija mle kimashala. Hakuna.kumwambia tufanye mapenzi. Kaa chini ongea naye, shika nywele ukimpigisha stroy na sehemu nyingine nyeti...ukisikia anaanza kuishiwa pumzi ndo.wakati wa kumuomba. Hapo kukataa siyo rahisi.
Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
Huyo hana hisia za mapenzi. Ana tatizo katika mfumo wake wa uzazi. Kila kitu kinaanzia kwenye vichocheo. Hasaa kwa mwanamke akiwa na tatizo hili huwa anahis unapomwingilia ni kama unamjeruhi tu.Mkuu huduma natoa lkn nadhani hilo la kuonesha namhitaji sana ndo tatizo kiukweli ni tatzo kubwa sana yaani ananisumbua haswaa sijuii nimpotezee au sijuii nifanyeje aloo
Ee pole.. Akwambie ukwel anajisikiaje? Au ana tatz gan.Dah natumiaga zaid ya masaa mawili na bado hanielewag mkuu hawa watu wana mambo ya ajabu sana asiee
Anadhan ww ninikimuita anakuja vizuri tu kutoa K sasa ndo hataki!
. Aje kukitizama? Ila anakubali kwa kishingo upande maana hukumwita bali umemsihi na kumbembeleza kupita kiasi. Tofautisha kumwita mtu na kumsihi kiasi anakosa option. Ingawa hana nia kabisa.