Eternal_Life
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 812
- 1,675
Kwani ww ni rijali kweli? Sasa hapa unataka ushauri gani? Au ni mwanaume wa dar mla chips mayai? Acha kutuaibisha wanaume banaaaa, tafuna huyooo.Wakuu,
Niweke wazi tu kwanza ndoa yangu bado ni changa hata mwaka haina. Na ninampenda sana mke wangu.
Sasa bwana, kuna huyu beki 3 wife kamtafuta kutoka huko Tanga.
Mwanzo alikua na heshima sana na nilimlea kama mdogo wangu. Na wife alimleta ili afanye kazi hapa home maana mara nyingi wife anakuwa kazini na anafanya kazi ya shift (nursing)
Sasa kwa miezi hii miwili, huyu house girl ameanza kubadilika mno.
Wasifu wake ni,
-mweupe
-Ana figa ya hatari na nyuma kafungasha
-mrembo mno
-20 yrs.
Nikiwa home na wife hayupo, huyu housegirl huvaa vinguo vifupi vya kunitega na kupita pita mbele yangu. Au wakati mwingine hujifunga kanga moja na kujipitisha mbele yangu, au huniletea chakula huja na kanga moja. Na leo nimerudi akanikimbilia na kunikumbatia bila kuniachia kwa kama sekunde 30 hivi
Yaani kama wote tunavyo, hakuna mkate unaofurukuta mbele ya chai, huyu mtoto huwa anamtoa nyoka pangoni kila nikimwona.
Kumfukuza kazi ndo siwez akati home kwao ndo wanamtegemea.
Nikimwambia wife, anasema namsingizia mtoto wa watu.
Nimfanyeje huyu beki tara?
Tafuna kimya kimya.
kichwa cha chini kimeshaamua..
unangoja tukupe ruhusa ya mwisho tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Houseboy Hapanaa. SihitajiHuyu wife wake atafute houseboy
kuna ulazima kwa sasa kuwa na beki tatu?Houseboy Hapanaa. Sihitaji
Niliuza ngombe mkuu....
Mjina Mrefu ukisikia majaribio ndio hayo sasa. Inakubid uyashinde. Bwana Yesu hakuwa amekula ana njaa alajaribiwa na njaa kwa kuambiwa ageuzi mawe kuwa mkate. Wewe pia itakuwa unapenda sifa zote za huyo binti. Kimbia ushinde.Ndiyo kipimo cha uwaminifu hicho kazi kwako si unajuwa mlamba asali ahachi ila tu huchonga buyu kuwa mzinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Chura imeongezeka alipokaa kwetu miezi naneHa ha ha ha Huo kama Mtego, Kwel wife akuletee Beki tatu mwenye chura hapana aisee
Utaanzaje kumcharaza bakora mtoto mwenye chura nzuri na laini ya earlier 20's kwa mfano!!
Umeua...Amesema ndoa haina mwaka afu wana housegirl... mke akiingia shift za usiku? Kuna mawili... mke ni taahira au mke kamletea jini mahaba mtego.
Baaasi!