Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,822
Topic closed!
Pole sana; kwanini usiongee naye? Wewe ni mwanaume, mweleze kwa heshima ni mara mia awe anawapeleka mbali zaidi. Mzee wako anasumbuliwa na mid-life crisis huyo.
Kama ni muelewa ukimwambia jinsi gani unaathirika kwa matendo yako anaweza punguza.
Ana miaka 57 na wewe 20?
Matatizo ya kutojirusha in your 20s, mzee ameshapotea huyo sasa wewe break the cycle na uanze kudate.
Try to have your sexual fantasies in your 20s, la sivyo na wewe utakuwa kama wazee wetu hawa.
Nimeongea naye ndugu kaunga, lakini ananiambia nimeanza kuchanganyikiwa kwa kuwa sina ajira!
Wewe ni he au she
Kama ni he jua hayo ni mambo ya kawaida
Au maybe unajaribunkuficha kitu
Maybe idn yako unaificha ila wewe ni mwanamke unaumia kuona baba yako anafanya huo uchafu
Au wewe mwanaume na huyo baba yako sio baba yako ila ni mama yako ndio anafanya huo uchafu
Kwani hapo ndipo naweza pata reason ya wewe mpaka kufikia kulia
Anyway shukuru mungu kwani kuna wengine mama zao wanapigwa mashine na watoto wadogo na 0712 kabisa wa rika la watoto zao
Poa!!Kobelo sipo 20 exactly, nipo kwenye late late 20's naenda 30, na nina demu wangu tayari na mungu akipenda anaweza kuwa mchumba na hatimaye ndoa!
Tusiokuwa na ajira tunasingiziwa mengi!
Mimi ni wanaume na sio mwanamke. Sina wivu nae, tatizo aibu tunayopata kutoka nyumba za jirani na marafiki hata ndugu saa zingine!
Kwa hiyo yeye ni watoto wa rika lako wamama na wake za watu je?
Demu wako je?
nakushangaa sana kwa nn umejustfy kwamba huyu anayefanya haya ni mama yake?? je ina mana wababa ni watu decent sana kiasi kwamba hawawez kufanya haya?? acha sexual abuse. jibu kulingna na mada ilivyo.Wewe ni he au she
Kama ni he jua hayo ni mambo ya kawaida
Au maybe unajaribunkuficha kitu
Maybe idn yako unaificha ila wewe ni mwanamke unaumia kuona baba yako anafanya huo uchafu
Au wewe mwanaume na huyo baba yako sio baba yako ila ni mama yako ndio anafanya huo uchafu
Kwani hapo ndipo naweza pata reason ya wewe mpaka kufikia kulia
Anyway shukuru mungu kwani kuna wengine mama zao wanapigwa mashine na watoto wadogo na 0712 kabisa wa rika la watoto zao
nakushangaa sana kwa nn umejustfy kwamba huyu anayefanya haya ni mama yake?? je ina mana wababa ni watu decent sana kiasi kwamba hawawez kufanya haya?? acha sexual abuse. jibu kulingna na mada ilivyo.
Ndio maana nashindwa hata kumleta hapa nyumbani. Na sitafanya kosa la kumleta hata kidogo tutakapokuwa wachumba, labda awe kafa.