Kamwene kamwene
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,159
- 2,610
Kwaiyo unatusikiliza sisi au baba mkwe wako ?
Naomba jibu shemeji..........
Naomba jibu shemeji..........
Hilo kwake analiona pungufu kwa baba mkwe wake kitu ambacho ni kweli kwa wengi hilo ni pungufu.
Ila kuna namna ya kuliwasilisha hata kwa watu wasiokujua. Sitaki kuongeza neno mwishowe nionekane nami sina heshima.
Subiri mwakani
Si uko ndani !! Tatizo lako nini mummy???

Mnamponza mwenzenu... Jamaa ndoa kwake sio kitu cha muhimu kama kwa binti sasa hapa binti mawenge anahisi kana anataka achezewe mchezo maana mzee mpaka anapewa hela hataki Wafunge ndoa duuh mzee nae changamoto...!Mungu akusaidie uyapite haya.
Tangu mwaka Jana nasoma nyuzi zako ..unayopitia ni magumu.
Daah avata zimefananaHajui mlango wa kanisa wala msikiti. Inshort hana dini.
Sioni tatizo, ukizingatia anawakosea bila kuwa wazi. Muda ni mali.
Mwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??
Hapo baba mkwe anajaribu kupeleka muda mbele ili tuu kuhakikisha kama kweli hiyo ndoa haitakuja kuwa ndoano,anaogopa mwanae asije kupata stress za ndani ya ndoa huku ambapo itakuwa si kazi ndogo kutoka.Mwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??
Kujua mlango siyo tatizo, tatizo ni kuwa unataka kuwapeleka papara so mzee kashastukiaTunaishi tofauti alafu mzee hajui hata mlango wa kanisa/ msikiti
Kifupi hana dini
Aisee...!!Mm mke wangu alisubili miaka 7 ndo tukafunga ndoa na hakuwai kulalamika, wewe mwaka mmoja unamfungulia baba Mkwe Uzi...
Kabisa halaf anaonekana ni mwanamke dizaini ya mtu wa uswahilini, huwezi kuja mfungulia Uzi kama huu baba mkwe wako.Huyu inaonyesha ana mihemuko ya ndoa
Wanga nao ni mzigo japo kuna wanga mwingine una manufaa. Lazima kuna vitu ambavyo hajavitimiza huko kilingeni huyo mkweo bibie. Lipelekeni mbele za Mungu.Mwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??
Me naona msikurupuke kufunga hiyo ndoa coz mtakua mnajisumbua tu, msikilizeni mzee pengine kunakitu anakichunguza na pia nikushauri ujaribu kuperereza historia ya huyo mzee hapo kijiini kwao anaishi vipi nawanakijiji wengine ila kwa swala la kufunga ndoa msithubutu kabisa.Mwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??
Kumbuka mzee anaakili na busara kuliko wewe, jitulize tu ukichachamaa utaharibu yawezekana hili nalo ni jaribu ambalo mzee anakupitisha kuhakikisha mwanaye haowi mtu asiyefaa. Be carefulMwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??
Huu ndio ukweli aisee.Kulingana na maelezo ya Uzi wako, bila kukuficha ni kwamba umeonyesha tamaa ya mali za Jamaa na unalazimisha kuwa legal ili uwe sehemu ya mali hizo.
Unaonekana unalazimisha kufunga ndoa uli uwe sehemu ya umiliki Wa mali hizo. Utu uzima ni dawa Mzee kashakusoma kuwa unatumia nguvu nyingi kulazimisha ndoa, ula huyo zumbukuku wako hajatambua coz umemuweka kwapani.
Na kwa jinsi unavyoandika kwa baba mkwe inaonekana una matatizo sana ya kinidhamu ila ujitambui. Ova ova ovaa gonga like wadau twende zetu asituchoshe huyu gold digger.
Ndoa inakuwa na baraka endapo kama INA BARAKA na ridhaa za wazazi!Linalo wezekana leo lisingoje kesho
ndoa ni baraka sana watu wengi hatujui