happy amos
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 251
- 434
- Thread starter
- #21
Elewa nijambo tumekubaliana wore sio Mimi ndio nalazimisha hata mwenzangu ana uhitaji SanaHuyu inaonyesha ana mihemuko ya ndoa

Anataka ajue kama ilichezea usichana wako na huzai ndiyo basi tena atasamehe ata mahari..Mwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??

Mm mke wangu alisubili miaka 7 ndo tukafunga ndoa na hakuwai kulalamika, wewe mwaka mmoja unamfungulia baba Mkwe Uzi...
Yaani uoe kwa sababu ya hela za likizo?samahani naungana na huyo Mzee,kuna kitu tumekiona ila huyo jamaa yako bado amepofushwa na mapenziIli Jambo wote tumejadili kwa pamoja Wala sio Mimi nalalamika hata mwenzangu sababu nimwajiliwa ivyo Kuna vingi anakosa ,, mfano hata hela ya likizo anapewa kidogo vitu ni vingi istoshe sio Mimi ninaemkazinia mkuu
Kwahiyo kwako ndoa ni posho za likizo...dah.....haya bana muoe tu mmeo hamna jinsiIli Jambo wote tumejadili kwa pamoja Wala sio Mimi nalalamika hata mwenzangu sababu nimwajiliwa ivyo Kuna vingi anakosa ,, mfano hata hela ya likizo anapewa kidogo vitu ni vingi istoshe sio Mimi ninaemkazinia mkuu
Mm mke wangu alisubili miaka 7 ndo tukafunga ndoa na hakuwai kulalamika, wewe mwaka mmoja unamfungulia baba Mkwe Uzi...
Mahali umeshatolewa?,hebu nijibu hili tuendelee kushauriana vizuriMwenzenu naomba ushauri huyu baba mkwe simwelew kabisa
Iko hivi
Nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana baada ya kukamilisha process zote ikabaki kufunga ndoa tu
Ilipofikia mda wa kufunga ndoa baba mkwe akaja nyumbani kwa wazazi wangu pamoja na wazee wengine 2, akaomba nije niishi na mwanae uchumi wake haujakaa vizur anategemea kilimo ivyo anaomba mwaka huu tufunge....
Nilikubali kwa sababu alizozitoa kwamba mwanae kahamishwa kikaz so anaomba ahame na mkewe ambae Ni Mimi
Ok imefika mwaka huu Mimi na mwenzangu tukaanza kujiandaa pamoja na kusave pesa tukiamin mwaka huu tutafunga ndoa..
Mwez wa 6 mwenzangu akaenda Kijijini kumwambia mzee nataka nifunge ndoa mwaka huu,,. Baba mkwe akadai anataka afanye sherehe ivyo tumpe muda kidogo atatupa jibu
Juz tena mwenzangu kaenda kijijin kaita kikao Cha baadhi ya ndugu zake pamoja na wazazi wake akamwambia mzee vp nataka nifunge ndoa
Baba akadai sijajipanga vzuri tufanye mwaka kesho kwa Sasa Sina hela, mwenzangu akamwambia baba Mimi pesa ninayo we kama unataka unifanyie sherehe andaaa tu mi nitakuwezesha
Baba kakataa et umenifanyia makubwa Sana leo na ndoa ufunge kwa pesa yako hapana hela yako kafanyie vitu vingine Mimi najipanga mtafunga mwakakesho
Kabembelezwa Sana na baadhi ya ndugu kakataa kabisa anadai tusubir...
Tumejadilian na mwenzangu kwamba tufunge tu sisi bila kufanya sherehe then Kama yeye anataka sherehe atatufanyia mwaka kesho.,,,,, Bado tumemwambia hataki anadai Kama mmeamua hivyo fanyen ila msinishirikishe Mimi
Mi nachotaka mtulie mtafunga mwaka kesho
Waungwana naomben ushaur tufanyeje? kumbuka nimeanza kuishi na huyu mwanaume mwaka Jana bila ndoa kadai mwaka huu ,,
Mwaka umefika hataki tena anadai mwaka kesho ... nifanyeje??
Hii lugha sio nzuri kwa baba mkwe wako....
Samahani ila kuna tatizo mahali.

Wenzako wana mwaka wa 16 na watoto 3 hawajafunga ndoa na maisha yanasonga wewe unalalamikia vimiaka viwili? Fikiria maisha sio ndoa, huenda hapo upo katka usahili na huenda ukafeli kwa unavyoonekana mlalamishi mlalamishi wa vitu vidogo vinavyofaa kuvutiwa subira.
Mungu akusaidie uyapite haya.
Tangu mwaka Jana nasoma nyuzi zako ..unayopitia ni magumu.
Hilo kwake analiona pungufu kwa baba mkwe wake kitu ambacho ni kweli kwa wengi hilo ni pungufu.Ilitakiwa aandikeje?