Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
- Thread starter
- #41
CAY ,katika mambo ambayo hayaingii akilini ni jambo la mtu kuona tabu kuishi na mwenza mwenye watoto!
"
Hii inathibitisha namna tulivyo wabinafsi.Unaona kumhudumia mtoto ambae sio wako kama ni kutupa hela.
"
Tumeshatoka kwenye ubinadamu na tumekuwa zaidi ya wanyama.
"
Maana hata wanyama hawachukiani hivi!
"
Hii inathibitisha namna tulivyo wabinafsi.Unaona kumhudumia mtoto ambae sio wako kama ni kutupa hela.
"
Tumeshatoka kwenye ubinadamu na tumekuwa zaidi ya wanyama.
"
Maana hata wanyama hawachukiani hivi!
Last edited by a moderator: