Huyu atamcheat mumewe siku si nying . . . . . . !!

Huyu atamcheat mumewe siku si nying . . . . . . !!

Kwa kawaida wanaume wengi ambao wanakuwa na watoto wengi wa kufikia awali wanakuwa generous tu ili kumpata mama but baada ya muda mapenzi kwa watoto yanapungua tena sana!!! Ni wachache sana ambao wana upendo wa dhati kwa watoto wa kufikia unless mama huyo wa watoto awe na kipato kikubwa ambacho she can do with her kids bila kumsumbua mume huyo!!! Ila na watoto sita sitaolewa wanangu waishi kambo!!! Nitakuwa na buzi tu la kunifariji kwa mapenzi salama salimini, no attached commitment!!
 
Awe nae karibu tu huyo mume kayataka mwenzio anawatoto wamasoma
anategemea atawahudumiaje watoto bila msaada wake??
Ila na mama aangalie sana maana muimba kwaya anaweza akala mzigo na ukaribu huo akausitisha mjini hapa
kumbe kweli eee wanakwaya wanagegedana wenyewe kwa wenyewe!!!
 
Back
Top Bottom