Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Huyu dada ana umri wa miaka 42.
"
Ana watoto wa 5,mkubwa yuko form 5,kwa hiyo wanae wote wanasoma.
"
Dada huyu alifiwa na mumewe,baba wa wanae wote miaka 6 iliyopita.
"
Mumewe wa sasa hajazaa nae,lakini wakati hawajaoana walikubaliana kuwa watashirikiana kulea familia.
"
Mumewe wa sasa walioana miaka miwili iliyoisha.
"
Lakini miezi 8 iliyoisha jamaa amekua hatoi hela ya matumizi ya familia.
"
Huyu mama amekua akipewa msaada na rafiki yangu ambae anaimba nae kwaya.Hawa watu wawili wamekua karibu sana kiasi cha kunistua.
"
Bahati nzuri wote nawafaham na huwa tunapiga story nyakati tofauti.
"
Siku hizi wanatoka mpaka out!Mumewe na mama huyu huwa ni mfanya biashara ya samaki,hivyo husafiri kila mara.
"
Akiwa anasafiri kama anamwachia hela mkewe ni kidogo sana au haachi kabisa.
"
Mama huyu ndipo hupewa msaada na huya mwanakwaya mwenzake,msaada uliopelekea wawe karibu kiasi cha kuwa wanatoka out.
"
Mama huyu alishaniambia wazi kuwa anavutiwa sana na ukarimu wa mwanakwaya mwenzake na angependa wawe karibu zaidi.
"
Huyu mama kazi yake ni mkulima wa mboga mboga,shughuli ambayo haikidhi mahitaji yake.
"
Nimemshauri akae na mumewe wazungumze lakini anasema mumewe anadai yuko busy!
"
Hapa kuna kila dalili ya huyu mama kuisaliti ndoa yake bila shaka!