mbona hizi thread za wanaume kutotoa hela leo zimezidi jamani ?hii ni ya nne naona
mbona wanaume wamekuwa bahili hivi jmani?
kwanza mimi sio mdogo wako.. mi mtu mzima haswaa ...ila ukiwa mwanaume jitahidi kupunguza makali ya maisha ya kiburudisho chako. bwana maisha ni haya hayaSmile mdogo wangu siku hizi haki sawa kwa wote.alafu kibaya zaidi hali imekuwa ngumu jamani loh weee acha sio kwamba hawatoi tatizo hali ya uchumi na kipato cha mtu.Msitusingizie hatutoi hela dah mambo yanakwama kwa siku hizi.
Unaweza kudhani Kunguru na Mwewe wana tofauti,lakini wote ni ndege!
Smile mie pia mtu mzima sema tu mambo ya mtandaoni ndo sababu uwezi jua unaongea na mtu wa umri gani.Tatizo wanataka vitu vikubwa sana kupita uwezo.Ebu fikiria mwingine anataka simu ya BB wakati kuna mahitaji ya mhimu kama karo za watoto. na mambo mengi ya mhimu unazani ntakipa nini kipaumbele jamani.kwanza mimi sio mdogo wako.. mi mtu mzima haswaa ...ila ukiwa mwanaume jitahidi kupunguza makali ya maisha ya kiburudisho chako. bwana maisha ni haya haya
bazazi ni bazaziHujambo Tabasamu
Hii habari imenistua, kwani na mimi ni mfanya biashara ya samaki. Are you talking about me?. Uwiii ntaua mtu leo!.
Kwani mwanamke mwenye watoto sio mwanamke?[/QUOTE
Ni mwanamke kama walivyo wanawake wengine.Ila sasa mwanaume huna mtoto kwanini uoe mtu mwenye watoto 5.Umejiuliza kwanini hatoi pesa ya matumizi wakati anajua ameoa mtu mwenye watoto?Tena ana miaka 42.Sasa je,najiuliza huyu baba hataki watoto?
Hii habari imenistua, kwani na mimi ni mfanya biashara ya samaki. Are you talking about me?. Uwiii ntaua mtu leo!.
Tofauti ipo sanaaa, mwewe anakula vifaranga ila kunguru anakula makombo! Manenni matupu hayavunji mfupa sasa kama una nia ya kusaidia mkopeshe mtaji! Unadhani ada ikitakiwa shule atasema mume wangu hajatoa hela!! Si mtoto atafurumushwa! Afterall ni ngumu sana kwa mwanaume kutunza mtoto si wake kama wake! She has to do what she gotta do! Nampongeza sio DEKADEKA UTD mwanaume kabadilka aanze kujilizaliza with 5 kids!!!!!!! Some peoples fate are jst unkind so yeye kalijua hilo she is doing what she has to do, bila hivo jahazi linazama!
Mjusi anaamini ana uwezo wa kummeza kenge!!