Huyu anatafuta nini Dodoma mda huu wa majeruhi?

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,203
79,440
08_11_ghm9wp.jpg
 
" yaani mpaka naona aibu sijui wakiniuliza kuhusu umeme nitawajibu nini"
 
hana kisingizio cha kwenda nje hivyo kaamua kuruka na ndege kwenda dom...shida yake ni kuruka na ndege na amepanda kwenda dom akirudi atakuwa amepanga ya kuruka mtoni
 
hana kisingizio cha kwenda nje hivyo kaamua kuruka na ndege kwenda dom...shida yake ni kuruka na ndege na amepanda kwenda dom akirudi atakuwa amepanga ya kuruka mtoni

Mkaribisheni vizuri huko Dom mkuu wa kaya, huenda akakumbuka umuhimu wa kuwatembelea watanzania mikoani na kutatua matatizo yao.

Msipomkaribisha anaweza kupata sababu ya kusafiri kwenda nje ya nchi muda si mrefu, na kuacha tukiendelea na mgao wa giza pamoja na sinema za ewura na wauza mafuta.
 
hana kisingizio cha kwenda nje hivyo kaamua kuruka na ndege kwenda dom...shida yake ni kuruka na ndege na amepanda kwenda dom akirudi atakuwa amepanga ya kuruka mtoni
....haaaaaa! ndio kusema kwamba kale kaushamba ka kuruka kwenda majuu bad hajamwisha.?
 
AGENDA; MAGEUZI KWENYE BARAZA, SAFU MPYA ZA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA;Mwisho wa siku kuisafisha CCM kwa Jik.
 
Nadhani kuna Kamati Kuu ya kuteua mgombea Igunga, wajumbe wengi wako Dodoma, lazima iwe huko. Ya Chadema itafanyika Igunga kwenyewe
 
Yaani aniudh hamjui tu!nahisi kichefuchefu nikimwona!Dah!basi tu!JK NI MZIGO KWA KWELI
 
Asante ..Rais wangu KIPENZI..kazi njema katika kutupeleka kwenye nchi ya AHADI.kaza buti 61% tupo nyuma yako.

Japokuwa tukumbushane kuwa 61% ya kura zilipatikana baada ya kuwatimua mawakala wa Dr Slaa (Chadema) au vyama vyote na waangalizi wote wa kimataifa. Kiravu akatupa hiyo data. Hata mimi najitahidi kuamini hizo data, japo bado imani yangu haba.
 
Asante ..Rais wangu KIPENZI..kazi njema katika kutupeleka kwenye nchi ya AHADI.kaza buti 61% tupo nyuma yako.
<br />
<br />
mnafuata nn nyumba yake au ndo mwamendea!kajifunze lugha ila kuona huon hata harufu ya uchafu ktk sirikali yake haujui du ushabiki mdenda.
 
Back
Top Bottom