Huyu aliyemshonea Rais wetu hii kanzu anastahili pongezi kubwa sana

Bahati??

Bahati kukaa na hako kajamaa?

Labda nyie msiojielewa ndo mnaona bahati

Kipindi cha Mh kikwete kweli nilikuwa nikialikwa naenda kwa moyo mkunjufu lakini kwa huyo jamaa aisee siwezi kabisa yaani
Huna lolote mtu mwenyewe upo huko nanyumbu porini akualike nani!!??
 
Mbona unapaniki kwa kumpongeza huyu mbunifu wa Raisi imekuwa kosa?
Tatizo umeshindwa kutofautisha kati ya kanzu ya kihaya na kiislamu.
Kwa kiislamu hiyo kanzu ndio mwake kabisa,akitokea mwanamke ambaye si haramu kwako kumuoa unamsalimia kwa kufunika kiganja na mkono wa kanzu ili asikutengue.Ndio maana wanaojua kanzu wamekaa kimya
Kanzu sio sawa na suti kamanda
 
Back
Top Bottom