Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
Muigizaji wa Filamu Sylivester John Stallone Rambo
Anatajwa kua na sura pamoja na rangi yenye asili ya Uarabu,Uzungu,Uasia, nk.
Yaani Rambo anaweza kuchangamana na waarabu nakuonekana mwarabu, Wazungu na kuonekana hivyo, watu wa Asia na kuonekana hivyo.
Huyo ndo Rambo