Nilikuwa nipo chuo kikuu kimoja hapa tanzania nakunywa chai na maprofesa akatokea profesa mmoja sitamtaja jina akasema nimeambiwa(yeye profesa) kwamba ukitaka usibadili msimamo wako wa kupiga kura usijaribu kuhudhuria mkutano wa dr.slaa, anasema kuudhuria mkutano wa dr.slaa hata kama ulikuwa huna wazo la kumpigia kura utajikuta unabadili mawazo hayo na kumkubali kwa kumpa kura yako hapo tarehe 31.october, anasema jamaa ana kipawa cha kuongea vitu vya msingi na ile staili yake ya kulia ndio hatari tupu, mliowahi kuhudhuria mikutano ya huyu mgombea nijuzeni ili nikubaliane na alichokisema profesa pale chuo leo.
Mimi namsubiri pale zakhem mbagala nina mzuka balaa.
Mimi namsubiri pale zakhem mbagala nina mzuka balaa.