The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,283
Mi mwenyewe mkristo ila kwenye ishu ya Yesu ni mungu pana nipa utata sanaBiblia ina mistari/aya nyingi zinazothibitisha wazi kuwa Yesu ni Mungu
Mi mwenyewe mkristo ila kwenye ishu ya Yesu ni mungu pana nipa utata sanaBiblia ina mistari/aya nyingi zinazothibitisha wazi kuwa Yesu ni Mungu
Sasa kwanini unakukuwa mgumu kuelewa kwamba hakuna mungu mmoja kwa hoja hayako hapo juu?Ndio, ni Mwana wa Adamu. Baada ya kuimaliza kazi iliyomleta duniani, alipaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba. Mungu ni mmoja lakini ana nafsi tatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Nafsi tatu lakini Mungu mmoja.
Yap.Mke ni yul wa kwanza baada ya hapo unazini tu
Yap.Mke ni yul wa kwanza baada ya hapo unazini tu
....Ameketi mkono wa kuume wa Mungu....aliyeketi ni Yesu! Halafu Yesu huyo aliyeketi kuumeni kwa Mungu ni Mungu! Nilisema mapema kuna hitajika akili salama hapa...Ndio, ni Mwana wa Adamu. Baada ya kuimaliza kazi iliyomleta duniani, alipaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba. Mungu ni mmoja lakini ana nafsi tatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Nafsi tatu lakini Mungu mmoja.