Huyo mke sio wako...

Huyo mke sio wako...

Mke akinizingua kuna ubaya gani kumwacha? Hata Musa aliruusu talaka

Mk 10:3-5​

Naye akajibu, akawaambia, Musa aliwaamuru nini? Wakasema, Musa alitoa ruhusa kuandika hati ya talaka na kumwacha. Yesu akawaambia, Kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu aliwaandikia amri hii
 
Ulifunga ndoa Kanisani, mkasherehekea sana harusi. Baada ya siku chache ukaachana na mke wako, kisha ukaoa mke mwingine. Haukupita muda mrefu ukampa talaka. Kwakuwa hukuweza kuishi peke yako ukaoa tena kwa mara ya tatu mke mwingine.

Utafanyaje ukisikia sauti ya Yesu inakuambia "huyo mke uliye naye sasa sio mke wako..." Utakuwa tayari kumwacha na kumrudia yule mke wa kwanza? Au utapuuza tu sauti hiyo na kujitetea sana?

Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika, na watu wanapeana talaka kama risiti.

Katika kitabu cha Yohana 4:16-18
Yesu alimwambia mwanamke msamaria "...nenda kamwite mumeo, uje naye hapa. Yule mwanamke akajibu, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siyo mume wako; hapo umesema kweli."

Naamini hata leo kuna watu wengi wanaoisikia sauti ya Yesu ikiwaambia: huyo mke/mume sio wako, lakini wanajifanya hawasikii.
Mke ni yul wa kwanza baada ya hapo unazini tu
 
Biblia ina mistari/aya nyingi zinazothibitisha wazi kuwa Yesu ni Mungu
Ohooo! Tumuulize Yesu mwenyewe. Haaya....tusome Yohana 8:40. Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli,niliyoisikia kwa MUNGU. Ibrahimu hakufanya hivyo.*** Mwenye akili salama azinduke.
 
Ulifunga ndoa Kanisani, mkasherehekea sana harusi. Baada ya siku chache ukaachana na mke wako, kisha ukaoa mke mwingine. Haukupita muda mrefu ukampa talaka. Kwakuwa hukuweza kuishi peke yako ukaoa tena kwa mara ya tatu mke mwingine.

Utafanyaje ukisikia sauti ya Yesu inakuambia "huyo mke uliye naye sasa sio mke wako..." Utakuwa tayari kumwacha na kumrudia yule mke wa kwanza? Au utapuuza tu sauti hiyo na kujitetea sana?

Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika, na watu wanapeana talaka kama risiti.

Katika kitabu cha Yohana 4:16-18
Yesu alimwambia mwanamke msamaria "...nenda kamwite mumeo, uje naye hapa. Yule mwanamke akajibu, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siyo mume wako; hapo umesema kweli."

Naamini hata leo kuna watu wengi wanaoisikia sauti ya Yesu ikiwaambia: huyo mke/mume sio wako, lakini wanajifanya hawasikii.
Kama mambo ya mtu na mkewe yako ivi si kheri kutokuoa
 
Ohooo! Tumuulize Yesu mwenyewe. Haaya....tusome Yohana 8:40. Lakini sasa mnatafuta kuniua mimi MTU ambaye nimewaambia iliyo kweli,niliyoisikia kwa MUNGU. Ibrahimu hakufanya hivyo.*** Mwenye akili salama azinduke.
Ni kweli, Yesu alipokuwa duniani alikuwa MTU, kwa sababu alikuja duniani akazaliwa ili atuokoe. Lakini wakati huohuo alikuwa MJNGU. Ndio sababu aliitwa Emanueli(God with us)

Mathayo 1:23​

Tazama, bikira atachukua mimba, Naye atazaa mwana; Nao watamwita jina lake Imanueli; Yaani, Mungu pamoja nasi
 
Alipokuwa duniani alikuwa mtu! Unakusudia kusema mwana wa Adamu? Au vinginevyo? Sasa hivi yeye ni nani na yuko kwa nani?
 
kwahiyo DUNIANI kulikuwa na MUNGU na MBINGUNI kuna MUNGU?

JUMLA MUNGU WAWILI.....
 
Ndio, ni Mwana wa Adamu. Baada ya kuimaliza kazi iliyomleta duniani, alipaa mbinguni, ameketi mkono wa kuume wa Mungu Baba. Mungu ni mmoja lakini ana nafsi tatu: Mungu Baba, Mungu Mwana na Mungu Roho Mtakatifu. Nafsi tatu lakini Mungu mmoja.
 
kwahiyo DUNIANI kulikuwa na MUNGU na MBINGUNI kuna MUNGU?

JUMLA MUNGU WAWILI.....
Mungu ni mmoja. Sifa mojawapo ya Mungu ni kwamba yupo kila mahali(He is Omnipresent)
 
sasa vip awepo Mungu Yesu duniani na Mungu mwenyewe mbinguni? na huyo Mungu yesu akamatwe na wanadamu aliowaumba kisha wamuue (ajitoe roho maana kufa ni kazi ya Mungu) ili wale wale wanadamu aliowaumba waokoke kwa kifo chake huoni Mungu huyo atakuwa anawachezea Shere wanadamu.
 
Ulifunga ndoa Kanisani, mkasherehekea sana harusi. Baada ya siku chache ukaachana na mke wako, kisha ukaoa mke mwingine. Haukupita muda mrefu ukampa talaka. Kwakuwa hukuweza kuishi peke yako ukaoa tena kwa mara ya tatu mke mwingine.

Utafanyaje ukisikia sauti ya Yesu inakuambia "huyo mke uliye naye sasa sio mke wako..." Utakuwa tayari kumwacha na kumrudia yule mke wa kwanza? Au utapuuza tu sauti hiyo na kujitetea sana?

Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika, na watu wanapeana talaka kama risiti.

Katika kitabu cha Yohana 4:16-18
Yesu alimwambia mwanamke msamaria "...nenda kamwite mumeo, uje naye hapa. Yule mwanamke akajibu, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siyo mume wako; hapo umesema kweli."

Naamini hata leo kuna watu wengi wanaoisikia sauti ya Yesu ikiwaambia: huyo mke/mume sio wako, lakini wanajifanya hawasikii.
Kufunga ndoa kumeandikwa wapi katika biblia? Au ni nabii gani aliyefunga ndoa katika biblia??

Tuanzie hapo kwanza kabla hatujapotezwa na ukoloni kupitia tamaduni za wazungu na waarabu (ndoa za mashela na pete)
 
Ina maana Biblia huisomi kabisa? Jaribu hata ku google utapata jibu la swali hilo rahisi
 
Kwa hali ilivyo sasa achatu nishi nauyo asije mke wangu, ayo mengine tutajua mbele ya safari.
 
Ulifunga ndoa Kanisani, mkasherehekea sana harusi. Baada ya siku chache ukaachana na mke wako, kisha ukaoa mke mwingine. Haukupita muda mrefu ukampa talaka. Kwakuwa hukuweza kuishi peke yako ukaoa tena kwa mara ya tatu mke mwingine.

Utafanyaje ukisikia sauti ya Yesu inakuambia "huyo mke uliye naye sasa sio mke wako..." Utakuwa tayari kumwacha na kumrudia yule mke wa kwanza? Au utapuuza tu sauti hiyo na kujitetea sana?

Siku hizi ndoa nyingi zinavunjika, na watu wanapeana talaka kama risiti.

Katika kitabu cha Yohana 4:16-18
Yesu alimwambia mwanamke msamaria "...nenda kamwite mumeo, uje naye hapa. Yule mwanamke akajibu, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; kwa maana umekuwa na waume watano, naye uliye naye sasa siyo mume wako; hapo umesema kweli."

Naamini hata leo kuna watu wengi wanaoisikia sauti ya Yesu ikiwaambia: huyo mke/mume sio wako, lakini wanajifanya hawasikii.
Pana siri kubwa sana kwenye Ndoa kama ulikuwa hujui!!

Yeah si mpango wa Mungu watu kuachana..

Ila fahamu ya kwamba kumbukumbu ya Ndoa ni ya Duniani tu hapa ila huko kwingine hizi habari hazipo.

Pia jiulize je watu wawili wanawezaje kwenda njia moja wasipo patana?!

Hata hati ya talaka toka enzi za bwana Musa zilitolewa kutokana na ugumu wa mioyo wa watu.

Lakini ipo sababu ya ndoa kufika tamati!

Kama msingi wa ndoa ni tamaa, hisia, mihemko, mapenzi, uzuri, mali, na kadha wa kadha itafika mwisho tu au itadumu kwa misukosuko lukuki sambamba na usaliti kama tu Mungu hajahusika katika ujenzi wa msingi wa ndoa husika!

Rejelea msingi wa ndoa yako!!!!
 
Back
Top Bottom